Hawa ni CHADEMA ipi?
NILIWAHI kuandika makala mwanzoni mwa mwaka huu kusifu msimamo thabiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama Kabwe Zitto na kuwafukuza uanachama makada...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-pjUrS_GNONo/VSjd_9b6XPI/AAAAAAAAERQ/i-foXhytX8o/s72-c/profesar-j1.jpg)
HAWA NDIO WASANII WATAKAOGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-pjUrS_GNONo/VSjd_9b6XPI/AAAAAAAAERQ/i-foXhytX8o/s640/profesar-j1.jpg)
Hii tabia ya CHADEMA kutumia wasanii wa bongo fleva & movie kisiasa ni upunguani wa hali ya juu sana.Iweje leo hii kisa tu chama kinataka ruzuku ya kutosha kione ni vyema na sawa kuokota tu vijana wasio kuwa na maadili kutoka kwenye tasnia za muziki na movie na kuwanadi ili wawakilishe wananchi bungeni!? Huu ni wehu na kukosa kufikiri!
CHADEMA wamezindua mpango uitwao "Kujaa bungeni kivyovyote" na haya ya kujaza wasanii ndio mkakati wa kufanikisha mpango huo!
Kwa taarifa sahihi kutoka CHADEMA...
10 years ago
TheCitizen30 Jan
‘The EastAfrican’ ban angers IPI
11 years ago
BBCSwahili13 May
Je timu ya mwisho duniani ni ipi ?
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Azma ya Rais Nkurunziza ni ipi mwakani?
11 years ago
BBCSwahili16 Feb
Filamu ipi itang'aa kwenye Baftas?
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Ni ipi filamu bora zaidi ya 2013?
11 years ago
BBCSwahili15 May
Je, njia bora ya unyoaji ndevu ni ipi ?
9 years ago
BBCSwahili24 Dec
Je sura halisi ya Yesu ilikuwa ipi ?
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Ipi kali? Bundesliga, Serie A au Premier League
Mchezo wa soka ndio wenye mashabiki wengi zaidi duniani. Kati ya mashindano makubwa yanayopendwa zaidi ulimwenguni ni ligi mbalimbali zinazochzwa barani Ulaya. Kwa nafasi yako, je ni ipi ligi kabambe zaidi kati ya hizi? Je ni Premier League ya Uingereza? Au ni Bundesliga ya Ujerumani au ni ile Serie A ya Italia?
Kila mmoja wetu atakuwa na mtazamo na mapenzi tofauti juu ya hilo, lakini jambo moja linabaki wazi, wote tungependa kutazama mpira barani Ulaya, tena ikiwezekana BURE, bila kulipia...