Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hawa ni Ma-DJ wanaotikisa spika kwa sana

Muziki ni kati ya burudani kubwa zinazopendwa na vijana wengi ambao, baada ya mihangaiko yao ya siku, wiki au mwezi huamua ama kujikusanya eneo moja au kila mtu kivyake kwa muda wake kuburudika nao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mapatina wanaotikisa jiji kwa sasa

Kwa muda mrefu habari za uhusiano wa mapenzi baina ya watu mashuhuri wakiwamo wafanyabiashara na wanamuziki zimekuwa zikitikisa vichwa vya habari katika mitandao ya kijamii, redio lakini pia hata kwa wapenzi wa wadau hao.

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Tatu za Watatu Hawa Zimependwa Sana Mtandaoni

UZURI HAUJIFICHI: Hawa ni miongoni mwa warembo kwenye tasnia pendwa na wadada wengi hapa nchini, tasnia ya filamu za kibongo.Wakiwa kwenye “pozi” moja lakini katika “moment” tatu tofauti.Warembo hawa, Jackline Masawe “Wolper”, Kajala Masanja na Irene Uwoya walidondosha picha  hizi tatu mtandaoni juzi kati, nakufanya mashabiki kumwaga “likes” za kutosha  huku kila mtu aki-“comment” kile anachoona inafaa ilimradi kuelezea hisia na mtazamo wake.

Wengi waliwapenda na kuwasifia wote, lakini...

 

9 years ago

Michuzi

Wanawake wanateseka sana duniani - Spika Anne Makinda


Picha: Joseph MsamiSpika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema wanawake bado wanateseka takribani kote duniani, wengine wakiambulia vipigo na kadhia mbalimbali.Kandoni mwa mkutano wa Nne wa maspika wa mabunge duniani jijini New York spika Makinda amemueleza Joseph Msami wa idhaa hii, spika huyo wa kwanza mwanamke nchini Tanzania anasema lazima wanaume na jamii kwa ujumla wamkomboe mwanamke. Kwanza anaanza kueleza maudhui ya mkutano.KUSIKILIZA BOFYA...

 

10 years ago

GPL

WAKE WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA

Baada ya wiki iliyopita kuwaletea mabinti warembo wa marais wa nchi kadhaa za Afrika wanaosifika kwa uzuri, wiki hii tunawaletea wake wa marais wa nchi hizo ‘wanaokimbiza’ kwa uzuri, uvaaji nk. Ana Paula Dos Santos. Ana Paula Dos Santos
alizaliwa1964, ni mke wa Rais wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos, Paula ni mwanamitindo wa zamani, anasifika kwa uzuri na kujua kuvaa.… ...

 

10 years ago

GPL

MABINTI WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA

SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti AngePaul Kagame Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo kuliko wengine.…

 

11 years ago

Michuzi

Spika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) alipofika Ofisini kwake leo kwa ziara ya kikazi. Wengine ni baadhi ya Wabunge kutoka Bunge la Uholanzi alioambatana nao. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo Ofisni kwake na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Spika na Naibu Spika wa Bunge la Burundi ikulu jijini Dar es salaam

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Mhe. Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani