Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapatina wanaotikisa jiji kwa sasa

Kwa muda mrefu habari za uhusiano wa mapenzi baina ya watu mashuhuri wakiwamo wafanyabiashara na wanamuziki zimekuwa zikitikisa vichwa vya habari katika mitandao ya kijamii, redio lakini pia hata kwa wapenzi wa wadau hao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hawa ni Ma-DJ wanaotikisa spika kwa sana

Muziki ni kati ya burudani kubwa zinazopendwa na vijana wengi ambao, baada ya mihangaiko yao ya siku, wiki au mwezi huamua ama kujikusanya eneo moja au kila mtu kivyake kwa muda wake kuburudika nao.

 

11 years ago

Habarileo

Maegesho ya magari Dar sasa kusimamiwa na Jiji tu

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imezinyang’anya rasmi Manispaa majukumu ya kusimamia maegesho ya magari na imefuta vibali vyote vya maegesho vilivyotolewa na mamlaka hizo. Hatua hiyo imekuja baada ya Kamati ya Ushauri Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) kuagiza halmashauri ya Jiji kufanya kazi hiyo baada ya kubaini halmashauri za Ilala, Kinondoni na Temeke, kisheria hazikupaswa kusimamia maegesho ya magari.

 

10 years ago

GPL

WAKE WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA

Baada ya wiki iliyopita kuwaletea mabinti warembo wa marais wa nchi kadhaa za Afrika wanaosifika kwa uzuri, wiki hii tunawaletea wake wa marais wa nchi hizo ‘wanaokimbiza’ kwa uzuri, uvaaji nk. Ana Paula Dos Santos. Ana Paula Dos Santos
alizaliwa1964, ni mke wa Rais wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos, Paula ni mwanamitindo wa zamani, anasifika kwa uzuri na kujua kuvaa.… ...

 

10 years ago

GPL

MABINTI WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA

SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti AngePaul Kagame Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo kuliko wengine.…

 

10 years ago

GPL

MWANAHARAKATI AVAA GUNIA NA KUTINGA OFISI ZA JIJI KUMDAI MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA AMLIPE FEDHA ZAKE

Mwanaharakati John Masweta akiwa kwenye geti kuu la Makao Makuu ya Jiji la Mwanza.…

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO yawaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar na mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya maji

DAWASCO inaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya Maji kutoka katika mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini kwa wastani wa saa 72 kwa siku za Ijumaa hadi Jumatatu ya tarehe 28, 29  na 30 November 2014. 
Kukosekana kwa huduma hii kulitokana na kazi ya mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

9 years ago

Raia Tanzania

Kilichofanywa na Jiji kwa Ukawa ni hatari

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam juzi ilijaribu bila mafanikio kuzuia kufanyika kwa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) uliopangwa kufanyika kesho kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mitandao ya kijamii na baadaye magazeti, Jiji lilitoa sababu zisizoridhisha katika kujenga hoja ya kuwakatalia Ukawa kutumia viwanja hivyo vya umma, likisema vimelipiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa siku tisa ingawa hadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani