Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maegesho ya magari Dar sasa kusimamiwa na Jiji tu

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imezinyang’anya rasmi Manispaa majukumu ya kusimamia maegesho ya magari na imefuta vibali vyote vya maegesho vilivyotolewa na mamlaka hizo. Hatua hiyo imekuja baada ya Kamati ya Ushauri Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) kuagiza halmashauri ya Jiji kufanya kazi hiyo baada ya kubaini halmashauri za Ilala, Kinondoni na Temeke, kisheria hazikupaswa kusimamia maegesho ya magari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wakazi kata ya Kurasini Dar wagoma kuhama Kupisha mradi wa maegesho

Wakazi wa kata ya Kurasini Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamegoma kuhama katika makazi yao kupisha mradi wa ujenzi wa maegesho ya magari makubwa.

Manispaa ya Temeke imetoa amri ya kuwataka wakazi wa maeneo hayo kuhama ndani ya muda wa saa 12 kuanzia Novemba 13, vinginevyo nyumba zao zitavunjwa.

wakazi wa Kurasini jijini Dar es Salaam, wamepaza kilio chao kupinga amri ya Manispaa ya Temeke kuwataka kuhama eneo hilo kupisha ujenzi wa maegesho ya magari makubwa.

Wakizungumza na Star...

 

11 years ago

Mwananchi

Magari yanayojiendesha sasa yaja

Magari yanayojiendesha bila ya dereva kushika usukani yataanza kusambazwa duniani kabla ya muda uliotarajiwa.

 

5 years ago

Michuzi

JIJI LA DODOMA LAKABIDHI MAGARI YENYE THAMANI YA SH MILIONI 345 KWA WATAALAMU WAKE WA MIPANGO MIJI

Charles James, Globu ya Jamii
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma limekabidhi magari matatu kwa Idara ya Mipango Miji kwa ajili ya kurahisisha shughuli za wataalamu wake katika kudhibiti ujenzi holela kwenye jiji hilo.
Hayo yamefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa la kusimamia utekelezaji wa mpango kabambe wa Jiji la Dodoma.
Akizungumza wakati wa kukabidhi magari hayo, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema magari hayo yamegharimu kiasi cha Sh...

 

11 years ago

Habarileo

UN yataka sheria za misitu kusimamiwa

KAMATI ya Misitu Duniani (COFO) chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) imeshauri kutekelezwa kwa usimamizi wa sheria za misitu kuepuka uharibifu wa mazingira ambao unaendelea kuleta madhara makubwa kwa binadamu na viumbe hai.

 

10 years ago

Mwananchi

USAFIRI:Afrika sasa yaunda magari yake

Gari aina ya Nyumbu halionekani sana nchini, lakini ukweli ni kwamba limebuniwa na kutengenezwa Tanzania kama ilivyo kwa magari ya Kantaka, Innoson na Kiira ambayo yametengenezwa na nchi tatu za Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Mapatina wanaotikisa jiji kwa sasa

Kwa muda mrefu habari za uhusiano wa mapenzi baina ya watu mashuhuri wakiwamo wafanyabiashara na wanamuziki zimekuwa zikitikisa vichwa vya habari katika mitandao ya kijamii, redio lakini pia hata kwa wapenzi wa wadau hao.

 

10 years ago

Michuzi

MAANDALIZI MBIO ZA MAGARI YAKAMILIKA,SASA KUFANYIKA JUMAPILI HII MAENEO YA KIA

Baadhi ya magari yakiingia uwanjani kwa ajili ya ukaguzi wa mwisho kabla ya mashindano.

Mafundi wakiweka mafuta ya ndege katika moja ya magari yanayoshiriki mbio hizo.
Magari yanaotajwa kutoa ushindani mkali katika mbio hizo.Mamboz na Madebe linalotajwa kufungwa injini mpya ambayo bado kilometa zake zinasoma 0.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

BBCSwahili

Barabara za Nigeria : 'Mwanangu wa kiume alikufa kwa ajali ya gari- na sasa ninaongoza magari barabarani'

Mwanamke wa Kinigeria Monica Dongban-Mensem anafanya kampeni ya usalama wa barabarani baada ya mtoto wake wa kiume kufa katika ajali ya barabarani ambapo gari lililomgonga lilitoweka.

 

10 years ago

GPL

NAY ATANGAZA MALI ZAKE, YAMO MAJUMBA, MAGARI, ASEMA KWA SASA YUPO SINGLE

STAA wa Bongo Fleva nchini, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefunguka kuhusu mali zake anazomiliki. Nay ameyafunguka hayo wakati akihojiwa katika Kipindi cha Sporah kinachoruka kupitia Runinga ya Clouds TV kila Jumanne usiku. Nay wa Mitego akipozi na Mtangazaji wa Kipindi cha Sporah. Staa huyo amesema anamiliki nyumba tatu, magari matatu ambayo ni Toyota Prado, Nissani Murano na Toyota Passo. Mbali ya vitu hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani