Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USAFIRI:Afrika sasa yaunda magari yake

Gari aina ya Nyumbu halionekani sana nchini, lakini ukweli ni kwamba limebuniwa na kutengenezwa Tanzania kama ilivyo kwa magari ya Kantaka, Innoson na Kiira ambayo yametengenezwa na nchi tatu za Afrika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Usafiri wa magari changamoto Nigeria

Wiki hii BBC itaangalia hali ya barabara barani Afrika na miundombinu duni.

 

11 years ago

Mwananchi

Usafiri kituo cha Ubungo sasa ‘poa’

>Hali ya usafiri katika Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo,  imerejea kuwa ya kawaida.

 

10 years ago

Mwananchi

Usafiri Dar-Bagamoyo sasa kwa boti ya kasi

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam sasa wataanza kusafiri kwa kutumia kivuko cha kisasa kutoka katikati ya jiji hadi Bagamoyo na mikoa mingine badala ya kutumia usafiri wa barabara.

 

11 years ago

Mwananchi

Magari yanayojiendesha sasa yaja

Magari yanayojiendesha bila ya dereva kushika usukani yataanza kusambazwa duniani kabla ya muda uliotarajiwa.

 

11 years ago

Habarileo

Maegesho ya magari Dar sasa kusimamiwa na Jiji tu

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imezinyang’anya rasmi Manispaa majukumu ya kusimamia maegesho ya magari na imefuta vibali vyote vya maegesho vilivyotolewa na mamlaka hizo. Hatua hiyo imekuja baada ya Kamati ya Ushauri Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) kuagiza halmashauri ya Jiji kufanya kazi hiyo baada ya kubaini halmashauri za Ilala, Kinondoni na Temeke, kisheria hazikupaswa kusimamia maegesho ya magari.

 

11 years ago

Dewji Blog

UDA yasisitiza nia yake ya kuboresha usafiri Dar Es Salaam

419019_10150720985913420_2033299647_n

Na Mwandishi Wetu,

KAMPUNI ya Simon Group Limited imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze kuitawala biashara ya usafiri.

Kwa mujibu wa taarifa ya UDA, mpango unaendelea wa kuifanya Dar es Salaam liwe jiji lenye urahisi katika usafiri kwa kufanya kazi kwa karibu na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Volkswagen kurekebisha magari yake

Kampuni ya magari ya Volkswagen imesema magari yaken yaliayoathirika na sakata ya gesi chafu yatafanyiwa marekebisho.

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atimiza ahadi yake Maafisa Tarafa Mwanza wakabidhiwa Usafiri


Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akikabidhi ufunguo wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Maafisa Tarafa Mkoa Mwanza, Peter Michael (kushoto) kama ishara ya kukabidhi pikipiki 24 kwa Maafisa Tarafa wa Tarafa zote 24 za Mkoa Mwanza.

Mongella amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake (ahadi ya Rais Dkt. Magufuli) ya kutoa pikipiki kwa Maafisa Tarafa wote Tanzania aliyoitoa alipokutana na viongozi hao Juni 04, 2019 Ikulu...

 

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani