Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usafiri wa magari changamoto Nigeria

Wiki hii BBC itaangalia hali ya barabara barani Afrika na miundombinu duni.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kigamboni wakabiliwa changamoto ya usafiri

WAKAZI wa Kigamboni na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam, wanakabiliwa na changamoto ya usafiri kwenda katikati ya jiji kutokana na kivuko cha MV Kigamboni kupelekwa nchini Kenya kwa matengenezo....

 

10 years ago

Mwananchi

USAFIRI:Afrika sasa yaunda magari yake

Gari aina ya Nyumbu halionekani sana nchini, lakini ukweli ni kwamba limebuniwa na kutengenezwa Tanzania kama ilivyo kwa magari ya Kantaka, Innoson na Kiira ambayo yametengenezwa na nchi tatu za Afrika.

 

5 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI MWANZO MGUMU WAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA USAFIRI KUSAFIRISHA MAWE



***************************
NA MWAMVUA MWINYI 
WAJASIRIAMALI wa Kikundi cha Mwanzo Mgumu, kilichopo Kijiji cha Kwedikwazu Kata ya Kabuku wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga, wanahitaji usafiri utaowarahisishia kazi zao za ubebaji wa mawe. 
Wakizungumza na Waandishi wa habari katika eneo wanalofanya shughuli zao za kubangua mawe, Wajasiriamali hao walisema kuwa wananufaika na machimbo ya mawe yanayotumika kutengenea Marumaru na Jipsam katika majengo mbalimbali. 
Katibu wa kikundi hicho Saumu Kisaka...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marufuku ya Utumizi wa magari Nigeria

Jeshi la Nigeria limepiga marufuku utumizi wa magari kwa siku tatu katika jimbo la Borno kazkazini lihofia shambulizi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Barabara za Nigeria : 'Mwanangu wa kiume alikufa kwa ajali ya gari- na sasa ninaongoza magari barabarani'

Mwanamke wa Kinigeria Monica Dongban-Mensem anafanya kampeni ya usalama wa barabarani baada ya mtoto wake wa kiume kufa katika ajali ya barabarani ambapo gari lililomgonga lilitoweka.

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA YA DHAMINI KONGAMANO LA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO)

Afisa wa Kanda ya Afrika wa ICAO Papa Issa Mbengue (kushoto)akisisitiza jambo juu ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye kulenga ufanisi wa wataalamu wa kuongoza ndege ,vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya kuongonzea ndege wakati wa Kongamano la mafunzo ya ufanisi wa masuala ya uongozaji wa ndege linalofanyika kwa siku tatu katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wanaomsikiliza ni ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya usafiri wa anga yadhamini kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la kimataifa la usafiri wa anga — ICAO

05

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha(kushoto) akiongea wakati wa uzinduzi wa kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye kulenga ufanisi wa wataalamu wa kuongoza ndege vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya kuongonzea ndege. katikati ni Meneja mratibu wa safari za ndege Afrika Frederic Legrand, Kongamano hilo linazihusisha nchi za Afrika linafanyika hapa nchini kwa  siku tatu kuanzia leo...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA USAFIRI WA ANGA DUNIANI (ICAO) ATEMBELEA OFISI ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KWA USAFIRI WA ANGA NCHINI (TMA)

Katibu Mkuu wa ICAO Bw. Raymond Benjamin akipata maelezo mafupi kutoka kwa Kaimu Meneja Huduma za Hali ya Hewa kwa Usafiri wa Anga Bw. John Mayunga alipotembelea Kituo cha Hali ya Hewa kilichopo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Katika ziara hiyo Bw Raymond alipendezewa na jinsi Mamlaka ilivyoboresha huduma kwa kutumia teknolojia ambapo wateja wanapata ‘flight Folders’ za taarifa za hali ya hewa kwa njia ya kielekronikali (Aviation Information System (AIS). Huduma hii...

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani