HERI SIKU YA KUZALIWA JUMA MBIZO
Mdau wa burudani nchini Tanzania, Juma Mbizo. LEO ni siku ya kuzaliwa kwa mdau mkubwa wa burudani kaka yetu, baba yetu, rafiki yetu, Juma Mbizo ambaye amefikisha miaka 65. Juma Mbizo ni ‘kichwa’ muhimu kwenye burudani na michezo jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Ameweza kuasisi bendi nyingi za dansi na taarab sambamba na klabu za michezo. Kama hiyo haitoshi, Mbizo pia ameasisi kumbi nyingi za burudani....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLGLOBAL PUBLISHERS TUNAKUTAKIA HERI YA SIKU YA KUZALIWA LEO
10 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DR.JAKAYA KIKWETE
10 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DR. JAKAYA KIKWETE
10 years ago
GPLHERI YA KUZALIWA MH. JAKAYA KIKWETE
10 years ago
MichuziHeri ya Kuzaliwa Mdau Josephat Lukaza.
Tunapenda Kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kufikisha Miaka kadhaa ya kuzaliwa kwako na ukiwa sehemu ya wanakijiji wa digitali hapa duniani.Tunachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukubariki kwa kukuongezea maisha marefu na yenye heri hapa duniani ili vizazi vingine viweze kufaidi baraka na neema za mwenyezi Mungu kupitia Wewe.
Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kwako iwe chachu na siku ya kufikiria ulipotoka, Ulipo na uendapo ili...
10 years ago
MichuziHeri ya Kuzaliwa Mh. Edward Ngoyai Lowassa
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Heri ya Kuzaliwa mwanakijiji Josephat Lukaza
Mwanakijiji Josephat Lukaza.
Tunapenda Kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kufikisha Miaka kadhaa ya kuzaliwa kwako na ukiwa sehemu ya wanakijiji wa digitali hapa duniani.
Tunachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukubariki kwa kukuongezea maisha marefu na yenye heri hapa duniani ili vizazi vingine viweze kufaidi baraka na neema za mwenyezi Mungu kupitia Wewe.
Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kwako iwe chachu na siku ya kufikiria ulipotoka, Ulipo na uendapo...
10 years ago
GPLPOST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA UTATA INSTAGRAM
10 years ago
Vijimambo02 Feb
POST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA JAMBO INSTAGRAM
Zari ambaye bado yupo Bongo, katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi. Usahihi...