HII NAYO KALI KUTOKA MTWARA: ETI WAZUNGU WAFANYIWA TAMBIKO!
Bosi wa kampuni ya mafuta ya Maurel et Prom (T) Ltd akinywa dawa ya tambiko Bosi wa kampuni ya mafuta ya Maurel et Prom (T) Ltd akipakwa dawa ya tambiko kwenye kipaji cha uso…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo25 Jan
HII NAYO KALI KUTOKA MTWARA: ETI WAZUNGU WAFANYIWA TAMBIKO BAADA YA MITAMBO KUGOMA KUFANYA KAZI
Za kitaa kutoka Mtwara zinadai kuwa bibi mmoja aliyeitisha Serikali kuwa ikifanya mchezo na haki za watu wa mkoa huo atabadili gesi kuwa maji, amewapigia tambiko Wafaransa wazungu wa Kampuni ya uchimbaji wa visima vya...
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Ruvuma nayo kuunganishwa kwa reli ya Mtwara Corridor
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Hii nayo ni sanaa ya kimataifa
10 years ago
MichuziETI HII IMEKAAJE??
Nawasilisha picha mbili zilizopigwa kutoka Mazengo Street, Upanga (Chibuku, Faya),maana naona hawa Jamaa wa RAPID wanatupotosha na tukikosea trafiki wanatupiga faini. Tufanyeje?kwa mfano,picha hii inaonyesha hakuna kuingia Morogoro Road Kuelekea Ubungo.Alama ya Barabarani inaelekeza magari yote yanayotoka Mazengo kwanza lazima yanyooshe kwenda Barabara ya Msimbazi na baadae kuingia Morogoro Road kufuata mshale inavyo onyesha hapo pichani,wakati...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Pistorius akutwa na hatia, hii ndiyo adhabu anayoweza kutana nayo
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mwanariadha wa Afrika Kusini aliye kifungoni kwa kesi ya kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Oscar Pistorius (pichani) amekutwa na hatia ya kuumua mpenzi wake wa zamani Reeva Steenkamp siku ya Valentine 2013.
Pistorius ambaye alikuwa katika kifungo cha nje chini ya uangalizi maalum, alifanya tukio la mauaji siku ya Valentine akiwa bafuni na ndipo alipokuja mpenzi wake na bila kuangalia ni nani Pistorius alipiga risasi na kupelekea kifo cha mwanamke huyo.
Katika kesi...