ETI HII IMEKAAJE??
![](http://3.bp.blogspot.com/-U8Clxf4GuKs/VL5-94e6e-I/AAAAAAAG-hY/knMqbAt37j4/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Salaam Ankal na Timu nzima ya Globu ya Jamii
Nawasilisha picha mbili zilizopigwa kutoka Mazengo Street, Upanga (Chibuku, Faya),maana naona hawa Jamaa wa RAPID wanatupotosha na tukikosea trafiki wanatupiga faini. Tufanyeje?kwa mfano,picha hii inaonyesha hakuna kuingia Morogoro Road Kuelekea Ubungo.Alama ya Barabarani inaelekeza magari yote yanayotoka Mazengo kwanza lazima yanyooshe kwenda Barabara ya Msimbazi na baadae kuingia Morogoro Road kufuata mshale inavyo onyesha hapo pichani,wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Ninampenda dada yangu, hii imekaaje?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VKfK12aD*TXpH1MiWBVN6vaAsDK9RMB6DfVrL9qM*if2kYNZKVtpADLOqHl4k4i64d6vu6DmKWdgOUIenL7cc-gs-Iqchelp/MTWARA....jpg?width=650)
HII NAYO KALI KUTOKA MTWARA: ETI WAZUNGU WAFANYIWA TAMBIKO!
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Kulala kwenye jeneza eti inapunguza stress ??!! Cheki na hii ya Wakorea.. (+Video)
Moja ya nchi ambazo zinaongoza kwa watu wake kujiua Korea nayo ipo… zinatrajwa sababu mbalimnbali za watu kuamua kujiua ikiwemo ishu ya msongo wa mawazo au stress !! Umewahi kupatwa msongo wa mawazo ??!! Ilipokutokea hali hiyo uliamua nini ?? Nakusogezea hii kutoka Korea Kusini ambako unaambiwa wao wameona moja ya mbinu poa za kupunguza […]
The post Kulala kwenye jeneza eti inapunguza stress ??!! Cheki na hii ya Wakorea.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
10 years ago
Vijimambo25 Jan
HII NAYO KALI KUTOKA MTWARA: ETI WAZUNGU WAFANYIWA TAMBIKO BAADA YA MITAMBO KUGOMA KUFANYA KAZI
![](http://api.ning.com/files/VKfK12aD*TXpH1MiWBVN6vaAsDK9RMB6DfVrL9qM*if2kYNZKVtpADLOqHl4k4i64d6vu6DmKWdgOUIenL7cc-gs-Iqchelp/MTWARA....jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/VKfK12aD*TXSxGDGSDlRTKMkiQlLQ*od7zcn2aAK4epgi*34r6AgVn1J4MJDUl1U6J8gUgEuIKzg7zsdzZMruSFxP2ese2Gc/TAMBIKO.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/VKfK12aD*TUYN1h-74iQDgOsv6foSifL0-v56nHKwO18MY0ATU-luw7nE5qZyZj3YiWiCcyOFS9UtSAJdleLEPqaui7RKMOx/TAMBIKO2.jpg?width=650)
Za kitaa kutoka Mtwara zinadai kuwa bibi mmoja aliyeitisha Serikali kuwa ikifanya mchezo na haki za watu wa mkoa huo atabadili gesi kuwa maji, amewapigia tambiko Wafaransa wazungu wa Kampuni ya uchimbaji wa visima vya...
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Eti Kajala, P Funk Upya!
Kwamujibu wa gazeti la Visa, limeripoti kuwa kuna fununu kuwa staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anadaiwa kurudiana na mzazi mwenzake P Funk Majani ambaye ni mtayarishaji nguli wa muziki wa Bongo Fleva. <span 1.6em;"="">Hii ni kutokana ka bwana’ke amabe alimpora Wema Sepetu , CK kudaiwa kuishiwa mkwanja.
Licha ya kuwa Kajala bado yupo kwenye ndoa na mumewe anaesota gerezani, inadaiwa kwasasa anajipooza machungu na kushea mashuka ya hoteli na mzazi mwenzie P Funk. kwa mijibu wa gazeti...
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
MONALISA: Eti Kwani Tunafanana?
UTANI KIDOGO: Mwigizaji nguli wa filamu hapa nchini Yvonne Cherrie “Monalisa” ametupia picha hii mtandaoni akiwa na mama yake ambae pia ni muigizaji,Susan Lewis “Natasha” na kuandika maneno ya kiutani zaidi akijiita yeye CHEUSI na mama yake MAMVI nakuwauliza mashabiki kama wawili hawa wanafanana.
“Nipo na mamvi,nimekutana nae kang'ang'ania kupiga picha na cheusi mangala eti kwani tumefanana?”
Monalisa ni mwigizaji na muongozaji wa filamu mkongwe hapa Afrika ya mashariki naamesha shinda...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Eti Wema, Aunt wapatana!
Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi.
Na MWANDISHI WETU
KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla baada ya ugomvi wao wa muda mrefu.
Katika akaunti zao za mitandao ya kijamii, wawili hao walitupia picha wakiwa pamoja na furaha tele, baada ya hafla ya kukabidhiwa tuzo kwa wasanii zinazojulikana kama Nzumari Awards 2015, zilizofanyika Mombasa nchini Kenya,...