Hii ndio namba ya Hotel zilizopo Mwanza, vyumba na vitanda je?..
Leo January 05 kwenye Top Storiea za Amplifaya nilikusogezea na hii ya Tanzania kutajwa nafasi ya nane kati ya nchi zinazovutia duniani, naomba nahii isikupite…mtu wako leo nimefanikiwa kuipata idadi kamili ya Hotel zilizopo Rock City Mwanza, vyumba na vitanda vilivyopo kwenye mahotel Mwanza….ni kutoka Idara ya Utalii Dainess Kunzugala Afisa utalii Kanda ya ziwa […]
The post Hii ndio namba ya Hotel zilizopo Mwanza, vyumba na vitanda je?.. appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Hii ndio mipango ya Mwanza japo wameshika namba 3 matokeo ya darasa la saba !! (Audio)
Zikiwa zimebaki wiki mbili kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kufungua shule leo December 28 2015 Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ameamua kukutana na watendaji wake ambao ni wakuu wa Wilaya za Mwanza, Wakurugenzi wa Halmashauri, kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, wilaya na makatibu tawala wa wilaya na wakuu […]
The post Hii ndio mipango ya Mwanza japo wameshika namba 3 matokeo ya darasa la saba !! (Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Hii ndio ‘Mwanza City Commercial Complex ‘ inavyoonekana kwa sasa..(Picha)
Katikati ya Jiji la Mwanza kiko hiki kitu kizuri, kama uliwahi kupitia millardayo.com basi huenda uliwahi kukutana na pichaz zikionesha ‘Mlimani City ya Mwanza‘ ikiwa kwenye ujenzi. Sasa good news ni kwamba kesho ni utambulisho wa shopping mall, ambapo kutakuwa na burudani na michezo ya aina yake, ripota wa millardayo.com amefanikiwa kumpata Katibu wa Kampuni ya Mwanza […]
The post Hii ndio ‘Mwanza City Commercial Complex ‘ inavyoonekana kwa sasa..(Picha) appeared first on...
11 years ago
CloudsFM03 Aug
Hii ndio list ya wasanii watakao panda kwenye jukwaa la Fiesta Mwanza 2014
Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.
Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa Mitego
Mr Blue
Linah
Makomando
Madee
Young Dee
Super Nyota
Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-PZwJscHtDfk/VPn68XdPE8I/AAAAAAAAXk0/lyIMCRQ_zfQ/s72-c/1.jpg)
KINANA ASEMA UADILIFU NDIO SIFA NAMBA MOJA YA KIONGOZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-PZwJscHtDfk/VPn68XdPE8I/AAAAAAAAXk0/lyIMCRQ_zfQ/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HKv_Gxr_1Zw/VPn670x0abI/AAAAAAAAXks/_SGC-nAj12Q/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-sECUcqfCx_o/VPn68z8wYmI/AAAAAAAAXk4/mlp_1tchIwo/s1600/3.jpg)
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video)
Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri kuwa hatoendelea na kuifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Pep Guardiola amekiri kuamua kuondoka ndani ya klabu ya FC Bayern, baada ya kuitumikia […]
The post Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video) appeared first...
11 years ago
Habarileo02 Feb
Usafiri unakukera? Piga namba hii
MAMLAKA ya Usimamizi wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imetangaza namba za simu zinazoweza kutumiwa na abiria kuripoti kero na uvunjwaji wa sheria za barabarani, unaofanywa na madereva na makondakta wa daladala wawapo safarini.
10 years ago
Dewji Blog22 Apr
Wyndham Hotel Group Opens Hotel in Dar es Salaam, First Hotel in Eastern Africa
First hotel on African continent to be operated by Wyndham Hotel Group under management contract, complementing the company’s existing franchised portfolio
Wyndham Hotel Group (http://www.wyndhamworldwide.com), the world’s largest hotel company based on number of hotels and one of three hospitality business units of Wyndham Worldwide (NYSE: WYN), today announced the opening of the 139-room Ramada® Resort Dar es Salaam in Tanzania.
Complementing Wyndham Hotel Group’s existing portfolio of...
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Ninayo namba kamili ya mifugo iliyochinjwa kwenye sikukuu ya mwaka mpya Mwanza.
Happy New Year mtu wangu popote ulipo naomba ikufikie najua watu wangu tayari mmeshapata vitoeo vyenu kwenye hii siku iwe nyama ya Ng’ombe, Mbuzi, Kondoo hata Kuku lakini huwenda hufahamu idadi ya mifugo iliyochinjwa kwenye machinjio ya nyama Nyakato Mwanza …nakukutanisha na sentensi za Onesimo Nyamaishwa Kaimu Afisa mifugo wa jiji anatupa idadi kamili kwenye […]
The post Ninayo namba kamili ya mifugo iliyochinjwa kwenye sikukuu ya mwaka mpya Mwanza. appeared first on...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Vi9OWQbMpdQ/VUKXSYMn5BI/AAAAAAAHUZA/cM2B-paJs4g/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
Karaoke night @ Golden Crest hotel roof top in Mwanza happening now
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vi9OWQbMpdQ/VUKXSYMn5BI/AAAAAAAHUZA/cM2B-paJs4g/s1600/unnamed%2B(12).jpg)