Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii ndio mipango ya Mwanza japo wameshika namba 3 matokeo ya darasa la saba !! (Audio)

Zikiwa zimebaki wiki mbili kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kufungua shule leo December 28 2015 Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ameamua kukutana na watendaji wake ambao ni wakuu wa Wilaya za Mwanza, Wakurugenzi wa Halmashauri, kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, wilaya na makatibu tawala wa wilaya na wakuu […]

The post Hii ndio mipango ya Mwanza japo wameshika namba 3 matokeo ya darasa la saba !! (Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio namba ya Hotel zilizopo Mwanza, vyumba na vitanda je?..

Leo January 05 kwenye Top Storiea za Amplifaya nilikusogezea na hii ya Tanzania kutajwa nafasi ya nane kati ya nchi zinazovutia duniani, naomba nahii isikupite…mtu wako leo nimefanikiwa kuipata idadi kamili ya Hotel zilizopo Rock City Mwanza, vyumba na vitanda vilivyopo kwenye mahotel Mwanza….ni kutoka Idara ya Utalii Dainess Kunzugala Afisa utalii Kanda ya ziwa […]

The post Hii ndio namba ya Hotel zilizopo Mwanza, vyumba na vitanda je?.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

GPL

ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA

Kuangalia matokeo bonyeza mkoa hapa chini ARUSHA DAR ES SALAAM…

 

9 years ago

Michuzi

Matokeo ya mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015

Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba iliyofanyika September 9 na 10 mwaka huu ambapo mikoa ya kanda ya ziwa imefanya vizuri ikilinganishwa na mikoa mingine nchini. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk. Charles Msonde amesema jijini Dar es salaam kuwa  jumla ya watahiniwa 51,8034 kati ya 76,3602 wamefaulu sawa na asilimia 67.84, ambapo kati yao wasichana wamefaulu kwa asilimia 64.60 na wavulana asilimia 71.58 huku kiwango hicho cha kikiongezeka...

 

11 years ago

Mwananchi

Zimepotea wapi hamasa za matokeo ya darasa la saba?

Kuna njia nyingi za mtu kujielimisha. Kwa mfano, wapo wanaopata maarifa baada ya kufanya makosa fulani.

 

10 years ago

Mtanzania

Kanda ya Ziwa yang’ara matokeo darasa la saba

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

Esther Mbussi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

SHULE za msingi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa zimeongoza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 kwa kushika namba moja hadi saba kati ya shule 10 bora kitaifa.

Aidha, watahiniwa wamefaulu zaidi somo la Kiswahili na kufeli zaidi somo la Hisabati.

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Taifa (NACTE), wavulana wameongoza somo la Hisabati kwa kupata alama 50/50, ambapo 26 wamefaulu kwa kiwango hicho na...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WANAOMALIZA DARASA LA SABA TUWATUNZE KIMAADILI WAKISUBIRI MATOKEO

LEO watoto wetu wapatao 808,111 wanamaliza elimu yao ya msngi ya Darasa la Saba nchini kote.
Hii ni idadi tu ya wale ambao wamejisajili kufanya mitihani hiyo kwa mawa huu na Baraza la Mitihani kuwatambua katika takwimu zao hapa nchini kwa mwaka huu wa 2014 lakini huenda vijana waliostahili kumaliza elimu hiyo ingekuwa kubwa zaidi ukilinganisha na wale waliojindikisha darasa la kwanza 2007.
Nimesema watoto wetu wanamaliza kwakua tu na mimi katika hao 808,111 bimnti yangu ni mmoja wapo wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Matokeo darasa la saba hadharani, ufaulu juu kwa asilimia 11

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo limetangaza matokeo ya darasa la Saba iliyofanyika nchini kote kuanzia Septemba 2 hadi Septemba 10, mwaka huu ambapo watahiniwa 518, 034 kati ya 763, 602 waliofanya mitihani hiyo wamefaulu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani