Hii siyo hotuba, ni tangazo la ‘vita’
Moja ya kazi za Rais kama Amiri Jeshi Mkuu ni kutangaza vita. Kuna vita vya aina mbili; vita vya kupigana kwa majeshi na silaha za kivita na vita vya kupigana kujiletea maendeleo. Mwalimu Nyerere aliwahi kubainisha kwamba Taifa letu linakabiliwa na maadui watatu, ujinga, umasikini na maradhi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
10 years ago
GPL
VURUGU KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI HII SIYO SIASA
10 years ago
Vijimambo20 Mar
HII NDIO HOTUBA YA ZITTO ALIYOTAKA KUITOA BUNGENI YA KUWAAGA WABUNGE WENZAKE

Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma.
Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza tangu nikiwa na umri wa miaka 16 na...
9 years ago
Bongo530 Dec
Roma: Mfumo wa ulipaji mirahaba unaenda kutuingiza kwenye ‘vita’ nzito

Roma anahisi mfumo wa vyombo vya habari kulipa mirahaba kutokana na uchezaji kazi za wasanii utakaoanza January utachimba kaburi kwa muziki wa Tanzania.
Tunaingia katika vita ambayo tutawapoteza wapiganaji wetu wengi sana mahiri na wale watakaosalimika ni wachache sana!! Na sio kama watasalimika kwakuwa wanajua saaaana kupigana au wanazijua mbinu za kivita No. Ni kwakuwa tu walipewa silaha zote za kujilinda na kupambana!!
Na hawa mahiri waliingia vitani wao kama wao na Mungu wao bila...
10 years ago
Vijimambo12 May
10 years ago
Vijimambo11 Feb
Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...