Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HII YA MAKONDA NIMEIPENDA, IWE NCHI NZIMA!

NCHI hii ina mambo kweli. Unaweza kumuona mtu ana mvi na uso uliojaa busara, ukaamini ndiye anayeweza kusema na kutenda vitu vya msingi, endapo utampatia ukubwa wa kuamua mambo.

Lakini hebu mpe huo ukubwa uone. Hapo ndipo utakapotambua uhalisia wake, kwa sababu utajua jinsi gani alivyo na utu, jeuri, tamaa, mzinzi, busara, fisadi na kila jambo. Kifupi, madaraka yanayoambatana na mamlaka ya kuamua hukupa picha halisi ya mtu.

Na kwa namna ambayo hukutegemea, mtu ambaye ulimuona mwingi wa busara,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SAKATA LA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUJULIKANA IJUMAA HII

KUFUATIA serikali kushindwa kufuatilia na kutatua kero na matatizo yanayowasibu madereva wa magari na pikipiki hapa nchini, Muungano wa Vyama cha Madereva nchini umepanga kugoma kuingia barabarani kutoa huduma ya usafirishaji nchi nzima ili kuishinikiza serikali kusikiliza na kutatua kero zinazowasumbua kwa miaka mingi sasa. Wakizungumza na vyombo vya habari kupitia Katibu wa Muungano wa Vyama vya Madereva, Bw. Rashid Saleh,...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuanzia leo, kinarusha helkopta tatu kwa siku 14 mfululizo, katika  kutekeleza kampeni iliyopewa jina la Operesheni Pamoja Daima (ODB) itakayoendeshwa katika mikoa yote nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa nchi nzima

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa kusambaa nchi nzima

 Siku moja baada ya kususia Bunge, wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wametangaza kuanza utaratibu wa kuzungumza na wananchi juu ya kilichotokea na kinachoendelea bungeni.

 

10 years ago

GPL

ESCROW MPASUKO NCHI NZIMA

STORI:  Mwandishi Wetu TUKUBALI tukatae, sakata la fedha kiasi cha Sh. bilioni 306 zilizochotwa kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limeipasua nchi, Risasi Jumamosi limegundua. Waziri mkuu Mizengo Pinda. Escrow imeipasua nchi kufuatia majadiliano ya waheshimiwa wengi kuanzia juzi, Alhamisi kuonekana kila mmoja ana upande wake huku wapiga kura wao nao wakiwa kinyume na wawakilishi...

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda zabanwa nchi nzima

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera SensoPOLISI imetangaza operesheni nchi nzima ya kukamata madereva wa pikipiki (bodaboda), wasiofuata sheria za usalama barabarani, wakiwemo wanaopita taa nyekundu bila kuruhusiwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walimu kuandamana nchi nzima

BARAZA la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT), limetoa siku 14 kwa wakurugenzi wa halmshauri nchini kuwapa barua za kuwapandisha vyeo walimu wanaostahili la sivyo watafanya maandamano nchi nzima....

 

10 years ago

Mwananchi

Hamasa hii iwe pia katika kupiga kura

>Tangu mchakato wa uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo wa kielektroniki (BVR)uanze miezi kadhaa iliyopita, wananchi wengi wameonyesha hamasa kubwa kwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Wapigakura.

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana NCCR kuandamana nchi nzima

>Kitengo cha Vijana cha NCCR-Mageuzi kimesema Alhamisi kitaanza kampeni ya kuzunguka nchi nzima kushinikiza kurejeshwa kwa fedha za umma zilizotafunwa ovyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani