HIKI NDICHO KILICHOPITISHWA WILAYANI ARUMERU MKOANI ARUSHA
Wakazi wa Arumeru mkoani Arusha wamejipitishia sheria ambayo tayari imeanza kutumika ya kuwatandika viboko 70 hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi.Je, unawaunga mkono katika hilo na sheria hii ianze Tanzania nzima au unawapinga?
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-tCe3mvVmPxg/VQn3YTB4UiI/AAAAAAAC11g/mdqPVUDr8Po/s72-c/_MG_3013.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI MKOANI ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-tCe3mvVmPxg/VQn3YTB4UiI/AAAAAAAC11g/mdqPVUDr8Po/s1600/_MG_3013.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HkNx0lB1ZZI/VQn3Xa-CxcI/AAAAAAAC11U/dhZkoJAS0rs/s1600/_MG_2995.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nN1C_HIJ43s/VQn3s3HRMgI/AAAAAAAC12I/6UCqCyIGAa0/s1600/_MG_3015.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-BGIpbGFDolI/VQn3fRz6IWI/AAAAAAAC110/jUXlUCSwK8Q/s1600/_MG_3103.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Hiki ndicho kinachomstahili Warioba?
MWAKA 2012, Tume ya Rais ya Mabadiliko ya Katiba iliundwa chini ya uongozi wa Jaji mstaafu Joseph Warioba. Juni 4, 2013 rasimu ya kwanza ikatoka, na wananchi kupitia makundi mbalimbali...
9 years ago
Bongo528 Sep
Hiki ndicho Daz Baba anachojivunia
9 years ago
Bongo Movies19 Sep
Hiki Ndicho Kilichomuachisha Shule Riyama
Staa wa Filamu Bongo, Riyama Ally ameweka wazi kuwa hakumaliza elimu ya sekondari kutokana na ugumu wa masomo kwani hakuwa akiambulia chochote darasani licha ya walimu kujitahidi kufundisha kwa kiwango cha juu.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Riyama alisema kuwa kutokana na umbumbumbu wake alilazimika kuishia kidato cha pili baada ya masomo kuzidi kuwa magumu.
“Kwa kweli ugumu wa masomo ulinifanya niache shule, niliona kama wazazi wanapoteza pesa yao bure, sikuwa naambulia chochote,...
10 years ago
Vijimambo06 Jan
HIKI NDICHO KIRUSI KINACHOITAFUNA SIMBA
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/SAM_4246.jpg)
Simba ilikuwa tishio lakini kwa miaka ya hivi karibuni imegeuka na inaandamwa na matokeo mabovu.Mwaka 2011-2012 Simba iliambulia nafasi ya 3 katika ligi ikiwa nyuma ya Yanga na Azam, msimu wa mwaka 2013-2014 ilishika nafasi ya 4 nyuma ya Azam, Yanga na Mbeya City iliyoingia...
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Hiki ndicho tunasubiri katika michezo
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Hiki ndicho kinacho mstahili Warioba?-2
KUPITIA gazeti hili toleo namba 3414 la tarehe 9 Aprili, 2014, niliandika makala yenye kichwa cha habari “hiki ndicho kinachomstahili Warioba”? Maudhui yake yalijikita katika kuonesha utovu wa nidhamu wa...