Hiki ndio kilichofanya Mo Music kupandishwa Mahakamani Dodoma leo..
2015 umekuwa mwaka mzuri kwa wasanii wengi underground kufanya vizuri sana, kwenye list kubwa ya wasanii hao anaingia pia mkali kutoka Mwanza, Mo Music ambaye kadondosha single nyingi zilizomfungulia njia vizuri kwenye game ya muziki. Kuna kitu kimeendelea upande wa pili na leo December 21 2015 Mo Music amepandishwa Mahakamani Dodoma leo, kuna tatizo ??!! […]
The post Hiki ndio kilichofanya Mo Music kupandishwa Mahakamani Dodoma leo.. appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PFrndT8yczI/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili26 May
Polisi: Idris Sultan kupandishwa mahakamani kwa makosa ya mtandao kesho
Msemaji wa polisi nchini humo, David Misime ameiambia BBC kuwa upelelezi wa makosa ya kimtandao huchukua muda lakini wapo tayari kwa kesho kumpeleka mahakamani.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Fs23M4C5lLs/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/eNLs9HYEbKY/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OOvcTAdSB9A/VZ_buOIdT7I/AAAAAAAHogc/J4YxdMnUHdg/s72-c/MMGL0395%2Bcopy.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-OOvcTAdSB9A/VZ_buOIdT7I/AAAAAAAHogc/J4YxdMnUHdg/s640/MMGL0395%2Bcopy.jpg)
11 years ago
Mwananchi26 May
Bibi wa ‘unga’ kupandishwa kizimbani leo
Bibi, raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) aliyevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), atafikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kujibu mashtaka yanayomkabili.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3Vgfiq-3vlG-w4UVnMP1zH-mny-HsZeXAodcnMN677M1HaNyBRZ-x85lDlD2abcLoVcBm8YaWn-MousulAry-RA2/mbongo.jpg)
MTANZANIA ALIYEKAMATWA KWA SHAMBULIO LA GARRISA KUPANDISHWA KIZIMBANI LEO
Mtanzania aliyekamatwa Kenya akishukiwa kuhusika na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa wiki iliyopita Rashid Charles Mberesero. Mtanzania aliyekamatwa Kenya akishukiwa kuhusika na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa wiki iliyopita lililosababisha vifo vya watu takribani 150 na wengine wengi kuachwa majeruhi, Rashid Charles Mberesero mwenye umri wa miaka 20 ni mwanafunzi wa kidato cha tano katika...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8zd8Ellyedo/U2oJvMaZefI/AAAAAAAFgGM/v3h1GqO2DL8/s72-c/IMG_7129.jpg)
HIKI NDIO KIPITA SHOTO BABKUBWA KUPITA VYOTE JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-8zd8Ellyedo/U2oJvMaZefI/AAAAAAAFgGM/v3h1GqO2DL8/s1600/IMG_7129.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania