Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HILLARY CLINTON ASEMA ALIRUHUSIWA KUTUMIA BARUA PEPE BINAFSI

Hillary Clinton akijibu maswali ya waandishi habari leo ndani ya mjengo wa Umoja wa Mataifa New York kuhusiana na tuhuma za kutumia barua pepe binafsi badala ya serikali huku ikidhaniwa ni kwasababu alikua akificha jambo lakini yeye alipokua akiongea na wanahabari aliwaambia yeye kutumia barua pepe binafsi alomba kufanya hivyo na aliruhusiwa na sababu kubwa ya yeye kufanya hivyo ni kwasababu kwake ilikua vigumu kubeba simu mbili kwa ajili ya kutumia kupokea au kutuma barua pepe.
Alipoulizwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BARUA PEPE ZA HILLARY CLINTON KUKAGULIWA

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton. New York, Marekani Maelfu ya kurasa za barua pepe (emails) binafsi za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton zilizotumwa kwa anuani binafsi ya Waziri huyo, zimewekwa wazi hii leo na idara za Usalama nchini humo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema kuwa, kati ya barua pepe hizo, 150 kati yake ni zile zinazodaiwa kuwa na taarifa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Barua pepe za Clinton kuchunguzwa

Maefu ya kurasa za barua pepe binafsi za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton zinachunguzwa.

 

11 years ago

Michuzi

KUVAMIWA KWA AKAUNTI YANGU BINAFSI YA BARUA PEPE - SULEIMAN SALEH

             


              Leo hii Ijumaa Juni 20, 2014, kuanzia saa 5 mchana kwa saa za Marekani na saa 12 jioni kwa saa za Tanzania nimegundua kwamba akaunti yangu binafsi ya barua pepe kidundo2001@yahoo.comimevamiwa na wahalifu.  Nimechukuwa hatua stahili na za haraka katika kushughulikia tatizo hili. Naomba kuwashukuru wote walionitanabahisha kwa kufahamu kwamba niko Washington DC, Marekani,  na wakashangazwa kupokea barua pepe nyingi ambazo zimedai kwamba niko Nassau, Bahamas, Manila...

 

10 years ago

CNN

Is Tanzania having a Hillary Clinton moment?


CNN
Is Tanzania having a Hillary Clinton moment?
CNN
Reporting for this story was made possible by the International Women's Media Foundation's African Great Lakes Reporting Initiative. (CNN) Rehema Mayuya has caused quite the scandal. It started when she convinced her 56-year-old husband, Thabit Yusuf ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bi Hillary Clinton awalaumu wapinzani

Anayedhaniwa kuwa mstari wa mbele katika uteuzi wa Urais katika chama cha Democratic, Hillary Clinton, amewalaumu wapinzani wake wa chama cha Republican kwa kutumia vifo vya wanadiplomasia nchini Libya kujinufaisha kisiasa.

 

11 years ago

Habarileo

Bill, Hillary Clinton wapata mjukuu

CHELSEA Clinton wa Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton na mkewe Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Hillary Clinton, amejifungua mtoto wa kike.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hillary Clinton atangaza kugombea urais

Mke wa rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton, Bibi Clinton ametangaza azma ya kugombea urais nchini Marekani

 

10 years ago

BBCSwahili

Hillary Clinton kuwania urais Marekani

Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa Hillary Clinton atakuwa rais bora na mwenye maono kwa nchi ya Marekani.

 

10 years ago

Vijimambo

Hillary Clinton atangaza kugombea urais Marekani

Hillary Rodham Clinton akihutubia mkutano New York City March 10, 2015.
Hillary Clinton, mke wa rais wa zamani Bill Clinton, ametangaza kuwaanagombania urais wa Marekani mwaka 2016.

Kulingana na John Podesta, mshauri mwandamizi wa Bi Clinton waziri wa mambo ya nje katika awamu ya kwanza ya Rais Barack Obama, alitangaza nia yake kwa kutuma email Jumapili kwa wafadhili na watu waliomuunga mkono katika kampeni yake ya kwanza ya urais mwaka 2008.

Baadaye Clinton alitangaza rasmi ugombea wake katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani