HIV WANAVYOINGIA KATIKA SELI ZA MWILI WA BINADAMU-2
![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvNuO7LGRsQdrRD5Egqe92cn3ZmXKGEa*WXwvttyW-197Ucrdn6ihOvHf-W0IQDBEbf8Z5c-3srnMPvS9hj*sEmf/virushivsangue20120327size598.jpg?width=650)
Tunaendelea kuchambua jinsi virusi wa HIV wanavyoingia katika seli za mwili wa binadamu hatua kwa hatua. Endelea. Baada ya HIV kufanikiwa kubadilisha RNA yake kuwa DNA, ni lazima sasa HIV aingize DNA yake hii mpya kuingia kwenye DNA ya seli ya binadamu ili aweze kuthibiti kikamilifu na kuamrisha matendo na kazi zote za seli nyeupe ya binadamu ili seli hiyo iweze kufanya inavyotaka HIV. Kitendo hiki huitwa integration na hufanyika...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Ini linavyochangia afya katika mwili wa binadamu
10 years ago
MichuziATHARI ZA MADINI YA ZEBAKI KATIKA MWILI WA BINADAMU
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Habari njema katika vita dhidi ya HIV
5 years ago
Hiptoro09 Mar
Cure for HIV/AIDS: Monthly Antiretrovirals Injection can now Treat HIV...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Bandari katika mzozo wa haki za binadamu
KUMEIBUKA msuguano ndani ya Serikali na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuhusiana na tuhuma za unyanyasaji dhidi ya wafanyakazi, wakiwamo wanawake. Kutokana na taarifa hizo kuvuja katika vyombo vya habari...
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Umuhimu wa maji katika mwili
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Seli mundu tishio kwa watoto
ASILIMIA 90 ya watoto zaidi ya 8,000 wanaozaliwa na ugonjwa wa seli mundu kila mwaka nchini, hufariki dunia kabla ya kufikisha miaka mitano. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Utafiti waibua mapya ugonjwa wa seli mundu
WAGONJWA wa seli mundu wenye idadi kubwa ya chembechembe za damu zijulikanazo kama ‘fetal hemoglobin’ hawaugui mara kwa mara na makali ya ugonjwa huo yanapungua. Hayo yalibainishwa jijini Dar es...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Ubongo wa mtu una seli 100 bilioni za mawasiliano