HIVI NDIVYO ALIVYOAGWA BABA WA MWIGIZAJI FILAMU MTITU
Mtitu akiingia nyumbani baada ya kutoka hospitali kuchukua mwili wa baba yake. Wasanii mbalimbali wa filamu wakiwa kwenye msiba. Mtitu akiwa ameshikilia picha ya baba yake wakati mwili ukitolewa kanisani kuingia nyumbani.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 May
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu
Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;
"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...
10 years ago
GPLBABA WA IMELDA MTEMA ALIVYOAGWA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Mwigizaji wa filamu ya Godzilla afariki
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q3gTfdm7mQwBBgRoGloRO1jT46j-tL7pnUtBS0vC-nz9pYo2NUFCLv-oqS1CVWPVfvy2cfAx6MDDPzgL*jW55Kp/mtotu4.jpg?width=650)
MTITU AFIWA NA BABA YAKE
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Mtitu awashukuru wadau wa filamu
MKURUGENZI wa kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, William Mtitu, amewashukuru wadau wa filamu kutokana na kitendo chao cha kuwa beba kwa beka katika msiba wa baba yake mzazi, Mzee...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PL9c3b9zeB-1C2aYW5kdkt1U**j0mvXDzqNEy59Z5Cf0KaTrtAvCQDkSavkv0kOpDdlnv7GDW*UJLr9ud55X5KR/MITITU.jpg?width=650)
MTITU AKESHA AKIMUOMBEA BABA YAKE
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Baba wa mwigizaji Genevieve Nnaji afikisha miaka 80
Mwigizaji Genevieve Nnaji akiwa na baba’ke.
MWIGIZAJI wa kike wa Nigeria, Genevieve Nnaji, jana alijirusha kwa furaha katika sherehe ya baba yake kutimiza miaka 80 siku ya Desemba 15, 2015.
Genevieve aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wa Instragram leo asubuhi akimshukuru Mungu kwa kumlinda baba yake hadi leo ambapo alipiga naye picha na baba yake.
Baba yake Genevieve ambaye ni moto wa nne miongoni mwa watoto wanane wa familia yake, alikuwa mhandisi kabla ya kustaafu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/li0jpfi0h9mLc73JwYnoUBPVQPdoSqtN9GW*1RqDGXDc6*mlJp5c8WiwVZPGHdegf12NYxOvac8CvfkBcSJlYsRpJkP5AKvh/Mtitu.jpg)
MTITU AMJUA BABA YAKE AKIWA NA MIAKA 17