BABA WA IMELDA MTEMA ALIVYOAGWA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR
Marehemu Florence F. Mtema enzi za uhai wake. Kaka wa marehemu akiwa amebeba msalaba wakati mwili ukitolewa nyumbani. Mwili wa marehemu ukiwekwa kwenye gari kupelekwa katika Kanisa Katoliki la Ukonga jijini Dar.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba wa Gebbo Peter nyumbani kwake Vingunguti,jijini Dar

10 years ago
MichuziMAMIA WAMUAGA MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE NA NDUGU ZAKE NYUMBANI KWAKE KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Baba anyonga mtoto akidai si wa kwake, atoroka nyumbani
>Mtoto mchanga wa umri wa wiki mbili, ameuawa kwa kunyongwa shingo na baba yake mzazi, katika ugomvi wa kifamilia, uliotokea katika Kijiji cha Ibamba, wilayani Bukombe, katika Mkoa wa Geita.
10 years ago
GPL
KOMBANI ALIVYOAGWA LEO VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR!
Makamu wa Rais, Dk. Bilal akielekea kutoa heshima za mwisho kwa Kombani. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar Balozi, Seif Ally Idd, akitoa heshima za mwisho. Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete, akiuaga mwili wa marehemu Kombani. Anne Makinda akitoa heshima za mwisho kuaga mwili wa Celina Kombani. Mama Maria Nyerere akiwa mbele ya jeneza.… ...
11 years ago
GPL
WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE
Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali kutokana na maradhi yake yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda sasa. Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya,Rachael na Linah wakiwa wamepozi katika picha ya ukumbusho na Mzee… ...
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda aandaa futari nyumbani kwake Dar


11 years ago
GPLHIVI NDIVYO ALIVYOAGWA BABA WA MWIGIZAJI FILAMU MTITU
Mtitu akiingia nyumbani baada ya kutoka hospitali kuchukua mwili wa baba yake.
Wasanii mbalimbali wa filamu wakiwa kwenye msiba.
Mtitu akiwa ameshikilia picha ya baba yake wakati mwili ukitolewa kanisani kuingia nyumbani.…
11 years ago
Michuzi
WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA 2014 JIONI YA LEO JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE.


Mzee Njenje amewaasa wasanii hao ambao amekiri wazi kuwa wanafanya vizuri katika anga ya muziki wao,kupata muda mwingi wa kupumzika ikiwemo na suala la kutoendekeza masualaua ya anasa kama vile ulevi,ngono na mengineyo ambayo huchangia...
11 years ago
GPL
WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AANDAA FUTARI NYUMBANI KWAKE DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es salaam kwa ajili ya Futari jana Jumamosi Julai 26, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na wa pili kulia ni Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova…
...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania