Baba anyonga mtoto akidai si wa kwake, atoroka nyumbani
>Mtoto mchanga wa umri wa wiki mbili, ameuawa kwa kunyongwa shingo na baba yake mzazi, katika ugomvi wa kifamilia, uliotokea katika Kijiji cha Ibamba, wilayani Bukombe, katika Mkoa wa Geita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBABA WA IMELDA MTEMA ALIVYOAGWA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR
Marehemu Florence F. Mtema enzi za uhai wake. Kaka wa marehemu akiwa amebeba msalaba wakati mwili ukitolewa nyumbani.
Mwili wa marehemu ukiwekwa kwenye gari kupelekwa katika Kanisa Katoliki la Ukonga jijini Dar.…
10 years ago
Vijimambo21 Dec
MWALIMU ANYONGA MTOTO WAKE GESTI MWILI HAWACHA KWENYE KORIDO LA HOSPITAL
Jeshi la polisi wilayani Mbogwe mkoani Geita linashikilia mwalimu wa shule ya msingi Kasandalala wilayani humo Laideth Constantine mwenye umri wa miaka 33 baada ya kumnyonga mwanae wa kiume mwenye umri wa miaka 7 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni(Gesti).
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana ambapo
kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa geita Joseph Konyo amesema tayari wanamshikilia mtuhumiwa baada ya vipimo vya daktari kudhibitisha kuwa mtoto huyo kanyongwa.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio...
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana ambapo
kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa geita Joseph Konyo amesema tayari wanamshikilia mtuhumiwa baada ya vipimo vya daktari kudhibitisha kuwa mtoto huyo kanyongwa.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio...
10 years ago
Habarileo24 Oct
Mfanyabiashara auawa nyumbani kwake
MFANYABIASHARA wa nafaka wa Maili Mbili , Dodoma mjini, Kapteni Mwita maarufu kama Chacha amepigwa risasi tatu na kufa akiwa nyumbani kwake.
9 years ago
Bongo517 Aug
Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!
Guys kuna mambo mengi sana feki yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii. Tena zaidi ni kuwa mengi yanakuja na picha zinazoashiria ukweli lakini katika maisha ya chuki na visasi, kila kitu kinawezekana. Mtoto wa Diamond, Tiffah Bahati mbaya tunaishi kwenye dunia ambayo watu huamini haraka mambo hasi ambayo kwa kawaida husambaa haraka zaidi kuliko yale chanya. […]
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AFUTARISHA MASHEIKH NYUMBANI KWAKE
11 years ago
GPLAMANDA AGEUZA DUKA LA MSHIKAJI NYUMBANI KWAKE
 Amanda akiwa ametoa macho kwa mshangao baada ya kuona paparazi akimpiga picha. Akiwa kwenye picha ya pozi. MSANII wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’, leo amenaswa na kamera yetu dukani kwa watu akiwa ameligeuza kama nyumbani kwake au mmiliki kutokana na jinsi alivyokuwa amejiachia.…
10 years ago
VijimamboASHA AFUTARISHA NYUMBANI KWAKE GERMANTOWN, MARYLAND
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lfASdeYLW4cvPRsQZxTPCxcvyaJIbJznlhD4i7bvHxUTiH*BjDzww*iOyXW-OGo7VqH8EGXabMgbTXUK3zFvWnjsSKGinn5S/lowasaaacopy.jpg?width=650)
LOWASSA AANGUSHA BONGE LA PATI NYUMBANI KWAKE
Stori: Mwandishi Wetu, Arusha
WAZIRI Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa ameangusha bonge la pati la kuukaribisha mwaka 2014. Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni yake ni mkewe mama Regina…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgY0uringvULvw5*z53yXRIZaJorOdw68V7Y7G*gxZdAyhdIgR2EmanXJP0jZzlqvphrSTycVr5rcFMPIHVfkqPA/nishagari.jpg)
NISHA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE, APORWA MALI
Gari la Nisha likiwa limeibiwa baadhi ya vitu. STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha' usiku wa kuamkia leo amevamiwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wapatao watano nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar na kuporwa baadhi ya mali. Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha'. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Nisha ameandika kuwa majambazi wapatao watano wakiwa na gari walivamia nyumbani kwake na kumpora huku...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania