Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI UNAKUBALIJE KUGEUZWA MPENZI WA KUZUGIA?

Assalam alaikum mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Ni matumaini yangu kwamba kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku hasa katika kuyatimiza yale uliyopanga kuyafanya kwa mwaka huu wa 2015. Mpenzi msomaji wangu, asilimia kubwa ya watu tuko katika ulimwengu wa mapenzi. Wapo walio katika ndoa, wapo walio katika uchumba na kuna wale wenzangu na mimi ambao bado wapo katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SIYO DHAMBI KUMPENDA MPENZI WA MWENZAKO ILA FANYA HIVI

Utafiti ambao umefanyika unaonesha kuwa, asilimia kubwa wapo kwenye uhusiano na watu ambao siyo waliopangiwa na Mungu kuwa nao.Kutokana na hilo ndiyo maana utakubaliana na mimi kwamba, usaliti umekuwa ukishamiri, watu wamekuwa wakiachana kila siku na wengine kuendelea kuishi pamoja lakini si kwa amani.

Hii ni kwa sababu wameingia kwenye penzi na watu ambao si sahihi. Kutokana na mazingira hayo, haiwezi kuwa kitu cha ajabu mume wa mtu kutokea kumpenda sana mke wa mtu au kinyume chake.

Pia...

 

10 years ago

GPL

SIYO DHAMBI KUMPENDA MPENZI WA MWENZAKO ILA FANYA HIVI…

Utafiti ambao umefanyika unaonesha kuwa, asilimia kubwa wapo kwenye uhusiano na watu ambao siyo waliopangiwa na Mungu kuwa nao.Kutokana na hilo ndiyo maana utakubaliana na mimi kwamba, usaliti umekuwa ukishamiri, watu wamekuwa wakiachana kila siku na wengine kuendelea kuishi pamoja lakini si kwa amani. Hii ni kwa sababu wameingia kwenye penzi na watu ambao si sahihi. Kutokana na mazingira hayo, haiwezi kuwa kitu cha ajabu mume...

 

10 years ago

GPL

KWA HALI ILIVYO SASA HIVI, HATA MPENZI WAKO HUENDA ANAJIUZA!

Mpenzi msomaji wangu, kichwa cha habari hapo juu huenda kimekushtua lakini huo ndiyo ukweli wa mambo! Nasema hivyo kutokana na kile ninachokishuhudia sasa hivi kwenye ulimwengu wa mapenzi. Kwa wale ambao wanapitapita maeneo yanayosifika kwa biashara ya ukahaba watakubaliana na mimi kwamba hali ni mbaya sana. Mabinti wazuri sana wanaonekana mida ya usiku wakiwa mawindoni.Wanajinadi kwa wanaume wanaopita huku wakiwa wamevalia nusu...

 

10 years ago

Mwananchi

Aibu, hatuna hata shaba ya ‘kuzugia’

Mwaka 2014 ninaweza kusema ndiyo umemalizika. Ninauita mwaka wa ajabu, mwaka wa aibu na ninaamini hata miaka mingine itaendelea kuwa hivyo, kwa kuwa hatufanyi kitu kuonekana kweli tunataka kufikia mahala fulani.

 

10 years ago

GPL

KAMA KWELI UNAMPENDA UNAKUBALIJE KUMUACHA KIRAHISI?

Ninachotaka kukizungumzia leo ni kuhusu watu kuachana katika mazingira ambayo wengi wasingetarajia. Zipo ndoa ambazo zimefungwa kwa mbwembwe sana lakini hazikudumu na ukiuliza utaambiwa chanzo ni mambo madogomadogo tena ya kuvumilika. Yapo ambayo kiukweli hayavumiliki kabisa. Kuna sababu ambazo ukitajiwa kuwa ndizo zilizosababisha  flani na flani kuachana, utasema hata ingekuwa wewe usingeweza kuvumilia lakini kuna nyingine...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu waonywa shule kugeuzwa majukwaa ya siasa

WALIMU nchini wametakiwa kuacha kufanya shule kuwa majukwaa ya kiasia badala yake wawafundishe wanafunzi kama taaluma waliosomea na kuiombea kazi inavyotaka.

 

10 years ago

Mwananchi

Tusikubali kamwe kugeuzwa karai la zege 2015

Hakuna ubishi waandishi wa habari wana nafasi kubwa sana ya kuipatia jamii viongozi bora na sio bora viongozi, kama wataweka mbele uzalendo na kuacha kuchukua hongo kutoka kwa wagombea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA BAADA YA KUGEUZWA MASALO NA GOR MAHIA LEO WAKEUKA MCHARO


Baada ya mchezo wa ufunguzi kugeuzwa chachandu na Gor Mahia kwa kuchapwa 2 kwa 1 leo Yanga wamegeuka mcharo baada ya kuwageuza Telecom ya Djibouti chips mayai 3 na pia wakikosa penati 2. Hili swala la penati limekuwa gonjwa ndani ya miguu ya wachezaji wa timu ya Yanga ukikumbuka hii ni penati ya 3 wanakosa katika michezo miwili, mchezo wa ufunguzi na Gor Mahia walikosa moja na leo wamekosa penati 2 wakosaji wa penati hizo ni Msuva na Tambwe. Nikijana mzarendo aliesajiliwa kutoka Mgambo JKT...

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani