Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu waonywa shule kugeuzwa majukwaa ya siasa

WALIMU nchini wametakiwa kuacha kufanya shule kuwa majukwaa ya kiasia badala yake wawafundishe wanafunzi kama taaluma waliosomea na kuiombea kazi inavyotaka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Shule taabani, walimu waishi darasani

SHULE ya Msingi Mwamashimba katika Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu Shinyanga, inakabiliwa na ukosefu wa vyoo, madawati na nyumba za walimu, hali inayosababisha baadhi ya walimu kuishi kwenye vyumba vya madarasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu wa michezo wanahitajika shule za msingi

Ni kweli michezo ni burudani, ila kutokana na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, michezo ni kipaumbele katika kutoa ajira pana, kukuza biashara na kujenga jamii bora yenye maelewano.

 

10 years ago

Habarileo

Shule zote Songosongo hazina walimu wa kike

TATIZO la usafiri linalowakabili wananchi wa Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi limesababisha shule ya msingi na sekondari katika kisiwa hicho kukosa walimu wa kike.

 

11 years ago

Mwananchi

Shule Wilaya ya Handeni hazina nyumba za walimu

Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 50 ya shule katika Wilaya ya Handeni mkaoni Tanga, zina upungufu wa nyumba za kuishi walimu hasa maeneo ya nje ya wilaya.

 

11 years ago

Habarileo

Walimu shule za msingi Mwanza kulipwa bil.8.1/-

WALIMU 3,410 wa shule za msingi na sekondari mkoani hapa, wamepandishwa madaraja na watalipwa zaidi ya Sh bilioni 8.1.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu kuhamishiwa kwenye shule zilizokamilisha maabara

SERIKALI mkoani Singida inakusudia kumwomba Waziri Mkuu Mizengo Pinda ruhusa ya kuhamisha walimu wa sayansi walioko kwenye kata zisizo na maabara na kuwapeleka kwenye kata zilizokamilisha ujenzi wa maabara.

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu wageuka wazazi Shule ya Msingi Mapambano

Shule ya Msingi Mapambano imetimiza miaka 35 tangu ilipoanza, ikiwa na wanafunzi 150 na walimu watano. Kwa sasa ina wanafunzi 403 na walimu 22.

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA YA IRINGA YATIMUA WALIMU 'MAFATAKI'

Mkuu wa Shule ya Sekondari
Mwembetogwa, Kevin Mlengule
SHULE ya Sekondari ya Mwembetogwa ya Mjini Iringa imepongezwa na wadau wake baada ya hivikaribuni kuwafukuza kazi walimu wanne wa kiume waliobainika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao wa kike maarufu  kama mafataki
“Tunataka shule nyingine ziige mfano wa shule hii, tumefarijika kusikia imechukua uamuzi huo na kwa kufanya hivyo tunaamini shule hiyo itakuwa salama kwa watoto wetu wa kike,” alisema mmoja wa wazazi wenye watoto...

 

9 years ago

Mwananchi

Siasa hatarini kuua elimu shule binafsi

Sekta binafsi kama ijulikanavyo ndiyo mhimili mkuu wa uchumi wa nchi inayofuata misingi ya uchumi wa soko huria. Haya ndiyo aliyoyasema hata Rais John Magufuli Alhamisi wiki iliyopita wakati akizungumza na wafanyabiashara jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani