Walimu kuhamishiwa kwenye shule zilizokamilisha maabara
SERIKALI mkoani Singida inakusudia kumwomba Waziri Mkuu Mizengo Pinda ruhusa ya kuhamisha walimu wa sayansi walioko kwenye kata zisizo na maabara na kuwapeleka kwenye kata zilizokamilisha ujenzi wa maabara.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
TZtoday
AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI)
AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15
A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-
i. walimu wa cheti (Daraja IIIA)...
11 years ago
Vijimambo15 Oct
CHADEMA YAWATAKA WALIMU WASITOE MICHANGO YA MAABARA.

Pia Chama hicho kimewataka wafanyabiashara nao wasikubali kulazimishwa kuchangia michango hiyo kwa vile hilo ni jukumu la serikali kuhakikisha inatekeleza ahadi zake katika ujenzi wa maabara kama Chama Cha Mapinduzi kilivyo...
11 years ago
Habarileo20 May
Shule ya Kilakala yapewa maabara ya kompyuta
BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi maabara ya kompyuta kwa Shule ya Msingi Kilakala iliyopo wilayani Temeke, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya shughuli zake za kijamii katika kukuza uwezo wa maendeleo miongoni mwa vijana nchini.
11 years ago
Habarileo29 Dec
Kagera wachachamalia maabara shule za kata
WANANCHI mkoani Kagera kwa kushirikiana na uongozi wa wilaya zao wameelezwa kuwa hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kupata maendeleo bila kuzalisha wanasayansi, hivyo Serikali ya Mkoa imetoa agizo ifikapo Juni mwaka kesho shule zote za kata ziwe na maabara mbili.
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Maabara 78 kukamilika shule za kata jijini Dar
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Tiper yasaidia vifaa vya maabara Shule ya Msafiri
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya kuhifadhi mafuta nchini, Tiper imetoa msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani ya Sh milioni 20 kwa Shule ya Sekondari Msafiri, iliyopo wilayani Rufiji, mkoani Pwani ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za kampuni hiyo katika kuboresha kiwango cha elimu nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa hivyo iliyofanyika jana wilayani Rufiji, Mkurugenzi Mtendaji wa Tiper, Daniel Belair, alisema msaada huo pia ni sehemu ya mpango endelevu wa kampuni hiyo...
11 years ago
Habarileo17 Aug
Koica yaipa shule ya kata vitabu 500, maabara
SHIRIKA la Kimataifa la Kujitolea la Korea (KOICA) limekabidhi vitabu 500 pamoja na maabara ya kufundishia masomo ya sayansi kwa uongozi wa sekondari ya kata ya Msambweni, mradi uliogharimu Dola za Marekani 16,725 (Sh milioni 27).
11 years ago
Mwananchi03 Nov
‘Ujenzi maabara za shule bila vifaa hauna tija’
10 years ago
Michuzi
MILIONI 40 ZACHANGISHWA KWA UJENZI WA MAABARA YA SHULE YA SEKONDARI

Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Bahari Rotary Klabu ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza...