Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule ya Kilakala yapewa maabara ya kompyuta

BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi maabara ya kompyuta kwa Shule ya Msingi Kilakala iliyopo wilayani Temeke, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya shughuli zake za kijamii katika kukuza uwezo wa maendeleo miongoni mwa vijana nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Exim yajenga vyoo shule ya msingi Kilakala

BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi vyoo vya kisasa kwa shule ya msingi Kilakala iliyopo wilayani Temeke, Dar es Salaam ikiwa ni jitihada zake za kuboresha usafi na mazingira ya kujifunzia...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaijengea maliwato Shule ya Msingi Kilakala


 Mkuu wa matawi (Cluster Head) wa Benki ya Exim Tanzania, Bi Agnes Kaganda (wapili kushoto) na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilakala, Bw. Abdul Kuratasa kwapamoja wakifungua jiwe la msingi kuonyesha makabidhiano rasmi ya maliwato iliyojengwa na benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia ni Kaka Mkuu wa Shule Seif Ahmed (wa kwanza kushoto), Dada Mkuu wa shule Naomi Shakila (wa kwanza kulia) na mlezi wa shule hiyo Dkt. Ellen Otaru (wa...

 

10 years ago

GPL

SEKONDARI YA MAKUMBUSHO YAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MAABARA YA KISASA YA KOMPYUTA

Wanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho,Mariam Rajabu na Faraja Abdallah wakimsikiliza  Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kulia) akiwafafanulia jambo kuhusiana na matumizi ya kompyuta mpakato zilizokabidhiwa na mfuko huo kwa kushirikiana na Samsung ikiwa ni msaada kwa wanafunzi wa shule hiyo kuweza kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta.
Baadhi ya wanafunzi...

 

11 years ago

Habarileo

Shule ya Wama yapewa gari

TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepatiwa msaada wa gari na Kampuni Ashok Leyland kwa ajili ya shule ya Wama Nakayama iliyopo Rufiji Mkoani Pwani.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE MATTEMBE ATOA MSAADA WA KOMPYUTA SHULE YA SEKONDARI ILONGERO



 Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (wa pili kushoto) akikabidhi msaada wa kompyuta tano na printa moja zenye thamani ya Sh.milioni 9.7 katika Shule ya Sekondari ya Ilongero iliyopo Wilaya ya Singida  mkoani Singida. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida,  Eliya Digha, Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Mulagiri,  Diwani wa Kata ya Ilongero,  Issa Mwiru na Mkuu wa shule hiyo, Ramadhan James. Vifaa hivyo vikikabidhiwa. Wengine ni...

 

5 years ago

Michuzi

Shule za sekondari Njombe zapigwa jeki kompyuta,printa kuboresha elimu

Na Amiri kilagalila,Njombe

Mbunge wa viti maalum mkoani Njombe kupitia chama cha mapinduzi Mhe, Neema Mgaya amekabidhi Kompyuta kumi zenye thamani ya milioni 17,370,000/=.kwa baadhi ya shule za sekondari mkoani Njombe ili kuboresha na kuinua taaluma katika mkoa huo.

Aidha mbunge huyo ametoa Printer mbili zenye thamani ya Tsh milioni 1,905,062, kebo nane kwaajili ya Umeme zilizogharimu kiasi cha Tsh, lakimbili na kufanya jumla ya vifaa vyote alivyovitoa katika ziara hiyo kufikia kiasi cha Tsh...

 

11 years ago

Dewji Blog

Access Bank watoa msaada wa Kompyuta kwa shule ya sekondari Azania

access 1  Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni. aces

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta kwa wanafunzi waliowawakilisha wenzao, anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKUJA YA JIJINI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA MASHULENI

 Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi wa kidato cha pili, Jacqueline James(kushoto) na Ibrahim Juma  wa shule hiyo jinsi ya kutafuta  taarifa za maarifa ya masomo  ya sayansi kwa njia ya kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.Mariam Mwishaha na Khairat...

 

11 years ago

GPL

ACCESS BANK WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA SEKONDARI AZANIA‏

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.
Ofisa Masoko Mwandamizi Access… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani