CHADEMA YAWATAKA WALIMU WASITOE MICHANGO YA MAABARA.
Na Mohab MatukioCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),kanda ya Ziwa Victoria Mashariki, kimewataka walimu katika mikoa ya Shinyanga,Simiyu na Mara wasikubali kuchangia shilingi 10,000 kutoka katika mishahara yao kwa ajili ya ujenzi wa maabara ya sekondari za kata.
Pia Chama hicho kimewataka wafanyabiashara nao wasikubali kulazimishwa kuchangia michango hiyo kwa vile hilo ni jukumu la serikali kuhakikisha inatekeleza ahadi zake katika ujenzi wa maabara kama Chama Cha Mapinduzi kilivyo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo31 Jan
DC Chamwino awataja waliokwapua michango ya maabara
MKUU wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Fatuma Ally amewataja watendaji waliokwapua takribani Sh milioni 6 za michango ya ujenzi wa maabara shule za sekondari.
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Matere wabamiza timu inayokusanya michango ya maabara
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP,Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Mkalama
TIMU ya ukusanyaji michango kwa ajili ya ujenzi wa maabara kata ya Mwangeza wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida,imeshambuliwa na kujeruhiwa vibaya na baadhi ya wananchi wa kitongoji cha Matere kijiji cha Dominiki.
Timu hiyo iliyokuwa inaongozwa na afisa mtendaji kata ya Mwangeza,Halfa Mrisho,imekubana na dhahama hiyo ikiwa kazini, oktoba mosi mwaka huu majira ya mchana huko katika kitongoji cha Matere kijiji...
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
Msigwa: Walimu gomeni michango ya lazima
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), amewataka walimu wa Halmashauri ya Manispaa Iringa, wagome kulipa michango ya lazima kwa ajili ya ujenzi wa maabara. Msigwa, alitoa kauli hiyo...
10 years ago
Habarileo08 Sep
Walimu kuhamishiwa kwenye shule zilizokamilisha maabara
SERIKALI mkoani Singida inakusudia kumwomba Waziri Mkuu Mizengo Pinda ruhusa ya kuhamisha walimu wa sayansi walioko kwenye kata zisizo na maabara na kuwapeleka kwenye kata zilizokamilisha ujenzi wa maabara.
10 years ago
TZtodayAJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI)
AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15
A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-
i. walimu wa cheti (Daraja IIIA)...
10 years ago
Dewji Blog14 Feb
CHADEMA yawataka Wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la mpiga kura
Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika hotel ya New Arusha jijini humo.
Viongozi wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wakifanya sala kabla ya kuanza mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini.
Naibu Katibu mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo-Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa chama chao kimejipanga...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar10 Oct
Chadema Yaipa NEC siku tatu……Yawataka Watanzania Wampuuze Dr. Slaa
Saturday, October 10, 2015 Naibu Katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika ametoa siku tatu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) kukabidhi nakala ya Daftari la Wapigakura kwa vyama vya siasa kwa ajili ya uhakiki vinginevyo […]
The post Chadema Yaipa NEC siku tatu……Yawataka Watanzania Wampuuze Dr. Slaa appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Chadema waichana Serikali kuhusu maabara
10 years ago
Habarileo13 Sep
RC ampongeza diwani wa Chadema kwa ujenzi wa maabara
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amemmwagia sifa tele diwani wa kata ya Mwangeza, katika halmashauri ya Mkalama mkoani Singida, Petro Mliga (CHADEMA) kwa kuwezesha kata yake kuibuka ya kwanza kukamilisha ujenzi wa maabara.