Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msigwa: Walimu gomeni michango ya lazima

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), amewataka walimu wa Halmashauri ya Manispaa Iringa, wagome kulipa michango ya lazima kwa ajili ya ujenzi wa maabara. Msigwa, alitoa kauli hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA YAWATAKA WALIMU WASITOE MICHANGO YA MAABARA.

Na Mohab MatukioCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),kanda ya Ziwa Victoria Mashariki, kimewataka walimu katika mikoa ya Shinyanga,Simiyu na Mara wasikubali kuchangia shilingi 10,000 kutoka katika mishahara yao kwa ajili ya ujenzi wa maabara ya sekondari za kata.

Pia Chama hicho kimewataka wafanyabiashara nao wasikubali kulazimishwa kuchangia michango hiyo kwa vile hilo ni jukumu la serikali kuhakikisha inatekeleza ahadi zake katika ujenzi wa maabara kama Chama Cha Mapinduzi kilivyo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msigwa awaasa walimu Iringa

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), amewataka walimu wa Halmashauri ya Iringa, wagome kulipa michango ya lazima kwa ajili ya ujenzi wa maabara. Msigwa alitoa kauli hiyo jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

10 years ago

Habarileo

Diwani akerwa na michango shuleni

DIWANI wa Kata ya Hanga wilayani hapa, Kassim Ntara (CCM), amelalamikia kuwepo kwa michango mingi inayofikia hadi Sh 300,000 badala ya Sh 20,000 wanayotozwa wazazi katika shule za sekondari za Kata.

 

9 years ago

Habarileo

‘Wabaneni waajiri wanaochelewesha michango’

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imeikumbusha mifuko hiyo kuhakikisha inawabana waajiri wanaochelewesha michango ya wanachama wao kwa kuwa sheria inaruhusu.

 

10 years ago

Mwananchi

Michango ya kampeni yawaliza wagombea CCM

>Michango ya kampeni za kujinadi kwa wananchi katika majimbo mbalimbali nchini imelalamikiwa na baadhi ya wanachama wa CCM wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge.

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zakumbushwa shule kuachana na michango

HALMASHAURI za jiji la Dar es Salaam zimetakiwa kutenga fungu ili kusaidia kupunguza michango mashuleni na kuendana na agizo lililotolewa na rais kuhusu elimu kutolewa bure kuanzia mwaka 2016.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani