Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matere wabamiza timu inayokusanya michango ya maabara

DSC00179111

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP,Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu, Mkalama

TIMU ya ukusanyaji michango kwa ajili ya ujenzi wa maabara kata ya Mwangeza wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida,imeshambuliwa na kujeruhiwa vibaya na baadhi ya wananchi wa kitongoji cha Matere kijiji cha Dominiki.

Timu hiyo iliyokuwa inaongozwa na afisa mtendaji kata ya Mwangeza,Halfa Mrisho,imekubana na dhahama hiyo ikiwa kazini, oktoba mosi mwaka huu majira ya mchana huko katika kitongoji cha Matere kijiji...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

DC Chamwino awataja waliokwapua michango ya maabara

Mkuu wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Fatuma Ally MKUU wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Fatuma Ally amewataja watendaji waliokwapua takribani Sh milioni 6 za michango ya ujenzi wa maabara shule za sekondari.

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA YAWATAKA WALIMU WASITOE MICHANGO YA MAABARA.

Na Mohab MatukioCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),kanda ya Ziwa Victoria Mashariki, kimewataka walimu katika mikoa ya Shinyanga,Simiyu na Mara wasikubali kuchangia shilingi 10,000 kutoka katika mishahara yao kwa ajili ya ujenzi wa maabara ya sekondari za kata.

Pia Chama hicho kimewataka wafanyabiashara nao wasikubali kulazimishwa kuchangia michango hiyo kwa vile hilo ni jukumu la serikali kuhakikisha inatekeleza ahadi zake katika ujenzi wa maabara kama Chama Cha Mapinduzi kilivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara

Desemba 9 mwaka jana ndiyo ulikuwa mwisho wa utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhusu ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Serikali nchi nzima.

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa Stars mpaka sasa inaongoza 3-0 dhidi ya timu ya Benin.

"Uzalendo kwanza" Shabiki wa timu ya Taifa Stars akishangilia  Mshambliaji wa Timu ya Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Benin wakati wa Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas inaongoza bao 3-0 mpaka sasa. Kiungo Mshambuliaji wa Taifa Stars,Amri Kiemba akiipatia timu yake bao la pili katika Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas...

 

5 years ago

Michuzi

TIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA

Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu
TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA UONGOZI WA FEDHA ZANZIBAR YAIFUNGA TIMU YA CHUO UTALII 2-1

Naibu Waziri akikagua timuNaibu W#aziri akikagua timu
Mashabiki wakiingia uwanjani.Wachezaji wa timu zote wakiingia uwanjani kucheza soka iliyiachezewa uwanja wa Aman anzibar.
Mashabiki wakiingia uwanja wa AmanNaibu Waziri wa Mifugo akisalimiana na marefaMahsahibi wakiwa wakiwauwanjani

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Jamhiri ilivyoigaragaza timu ya Polisi Zanzibar kwa bao 1-0

Mshambuliaji wa timu ya Jamhuri Samir Said (kushoto) akiwania mpira wa juu na mchezaji wa timu ya Polisi Abdalla Mwalim katika mchezop wa Ligi kuu ya Grand Malta Zanzibar uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Aman, Zanzibar.Jamhuri ilishinda 1-0. Winga wa timu ya Polisi Mohamed Mohamed (kushoto) akiwania mpira na beki wa timu ya Jamhuri Mohid Said katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malta Zanzibar uliochezwa kwenye Uwanja wa Aman juzi. Jamhuri ilishinda 1-0. Mshambuliaji wa timu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yatinga hatua ya timu 16 SHIMIWI

01

Wachezaji wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiomba dua kabla ya mchezo wa hatua ya mtoano katika mashindano ya SHIMIWI  uwanja wa Chuo Kikuu chaa Kilimo (SUA).

(Na Eleuteri Mangi – MAELEZO)

Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imeibuka kidedea kwa kuifunga timu ya  Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mikwaju ya penati 4 – 3.

Ushindi huo wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani