Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maabara 78 kukamilika shule za kata jijini Dar

>Ujenzi wa maabara 78 za masomo ya sayansi kwa shule za sekondari za kata jijini Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika Novemba 30, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikiwete azindua Sera ya Elimu,Afungua maabara Shule ya Sekondari ya kata,Kipawa jijini Dar

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa elimu na ufundi Kassim Majaliwa wakiangalia jaribio la Sayansi lililokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA MKAKATI WA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI ZA KUDUMU KATA CHAFANYIKA DAR ES SALAAM

 Naibu Meya Manispaa ya Kinondon,Songoro Mnyonge (katikati), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), Agosti 12, 2014 jijini Dar es Salaam mara bara baada ya kufungua kikao kilichowakutanisha wakuu wa shule, watendaji wa mitaa, kata pamoja na wenyeviti wa bodi za shule chenye lengo la kuangali namna ya kupatikana kwa fedha za kujenga zinajenga  maabara katika shule  za Sekondari ifikapo Novemba Mwaka huu (kushoto), Afisa Uhusiano Manispaa ya Kinondoni, Sebastian Mhowera, na kulia....

 

11 years ago

Habarileo

Kagera wachachamalia maabara shule za kata

WANANCHI mkoani Kagera kwa kushirikiana na uongozi wa wilaya zao wameelezwa kuwa hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kupata maendeleo bila kuzalisha wanasayansi, hivyo Serikali ya Mkoa imetoa agizo ifikapo Juni mwaka kesho shule zote za kata ziwe na maabara mbili.

 

10 years ago

Habarileo

Koica yaipa shule ya kata vitabu 500, maabara

SHIRIKA la Kimataifa la Kujitolea la Korea (KOICA) limekabidhi vitabu 500 pamoja na maabara ya kufundishia masomo ya sayansi kwa uongozi wa sekondari ya kata ya Msambweni, mradi uliogharimu Dola za Marekani 16,725 (Sh milioni 27).

 

10 years ago

Habarileo

Maabara ya ebola, dengue kukamilika mwezi huu

 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Steven KebweTANZANIA inazidi kupiga hatua katika sekta ya afya, na sasa inatarajia kuachana na usafirishaji wa sampuli za magonjwa ya uambukizi mkali yenye virusi visababishavyo damu kutoka mwilini, ikiwemo ebola na dengue.

 

9 years ago

GPL

MAABARA YA KISASA YA TFDA YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mkuu wa Maabara ya Mikrobilojia wa  Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini, Dkt. Adelard Mtenga akitoa maelekezo ya vifaa vya maabara. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini, Hiiti Sillo akikata utepe kufungua mtambo huo. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Msaada kutoka Marekani, Kelly Hamblin. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya…

 

11 years ago

GPL

MAABARA BUBU BADO ZAENDELEA KUWEPO JIJINI DAR

Hii ni moja ya maabara bubu ikiwa haina jina jambo ambalo linatia shaka juu ya huduma inayotolewa ndani yale. Ndoo iliyopo pembeni huwekewa pamba na uchafu mwingine utokao ndani ya maabara hiyo. Hiki ni choo ambacho wagonjwa wanaofika kupima afya zao huingia kwa vipimo kama vile choo kidogo na kikubwa. Kamera yetu leo hii imeinasa moja ya… ...

 

5 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15 KWA SHULE TATU ZA SEKONDARI JIJINI DAR

BENKI ya NMB, imekabidhi msaada wa viti, meza na madawati vyote vikiwa na thamani ya Sh. Milioni 15 kwa ajili ya Shule za Sekondari Kibamba na Kinzudi na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini, zilizoko wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam.
Hafla ya kukabidhi msaada huo ilifanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kibamba, ambako Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd alimkabidhi msaada huo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori (aliyekuwa mgeni rasmi).
Alisema Kibamba Sekondari yenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani