Hofu ya mfumuko wa bei Ulaya
Banki Kuu ya Muungano wa Ulaya inatarajiwa kuchukua hatua kufuatia hofu kuwa mataifa wanachama wa Ulaya huenda yakakabiliwa na mfumuko wa bei.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Mfumuko wa bei wapungua
OFISI ya Takwimu ya Taifa imesema mfumuko wa bei wa Juni umepungua hadi asilimia 6.4 kutoka asilimia 6.5 ilivyokuwa Mei mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Mfumuko wa bei wafikia 6%
OFISI ya Takwimu imesema mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 5.6 hadi asilimia 6.0 kwa kipindi kilichoishia Desemba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...
10 years ago
Mtanzania09 May
Mfumuko wa bei wapaa
NA EVANS MAGEGE
WAKATI thamani ya shilingi ikiendelea kuporomoka katika soko la fedha za kimataifa, mfumuko wa bei za bidhaa nao umepaa kutoka asilimia 4.3 hadi 4.5.
Taarifa iliyotolewa jana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa waandishi wa habari ilieleza kuwa mfumuko wa bei kwa mwezi Aprili mwaka huu umepaa kwa sababu ya ongezeko la bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii,...
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Mfumuko wa bei waongezeka
OFOISI ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula nyumbani na migawani umeongezeka Februari hadi asilimia 6.9 ukilinganishwa na asilimia 6.6 Januari mwaka huu. Akizungumza...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Mfumuko wa bei wafikia 6.3%
OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema mfumuko wa bei kwa mwezi Aprili umeongezeka kwa kiwango cha asilimia 6.3. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Mfumuko wa bei washuka
10 years ago
StarTV10 Feb
Mfumuko wa bei ya chakula wapungua.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es salaam.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetangaza kushuka kwa kasi ya Mfumuko wa Bei iliyojitokeza kwenye Bidhaa mbalimbali katika mwezi Desemba mwaka jana ambao ulikuwa asilimia 4.8 hadi kufikia asilimia 4.0 kwa Mwezi Januari mwaka huu.
Mkurugenzi wa takwimu za idadi za watu na huduma za kijamii Ephraim Kwesigabo amesema kupungua kwa mfumko wa bei hizo kumetokana na kushuka kwa kasi kwa bei za bidhaa za vyakula, Unga, mafuta ya taa Deseli na...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
BoT: Mfumuko wa bei wafikia 6%
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza sababu za mfumuko wa bei kufikia asilimia 6.1 na kupanda kwa asilimia 0.1 ikilinganishwa na mwezi uliopita. Akizungumza na Tanzania Daima katika viwanja vya...