HONGERA MADAM, WASHIRIKI MNAANDIKA LAKINI?
KWAKO Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen ‘Madam’ habari za siku dada yangu? Vipi uko poa? Pole na hongera kwa kazi nzito unayoifanya kwa ajili ya vijana wetu wa Kitanzania kupitia Shindano la Bongo Star Search (BSS). Umewapa fursa ya kuonekana, kujitangaza, hii ni zaidi ya shindano la kuonesha vipaji. Binafsi mimi ni mzima, namshukuru Mungu. Naendelea kupambana katika uwanja wangu wa habari na leo nimekukumbuka...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLUJIO WA NE-YO AFRICA DIAMOND, ALI KIBA MNAANDIKA LAKINI?
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Hongera ukawa, lakini kaeni chonjo
OKTOBA 26, mwaka huu, vyama vinne vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimeweka historia kwa kusaini makubaliano yatakayotumiwa na vyama vyao kutimiza malengo yao kisiasa. Umoja huo...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Hongera Rais, lakini sasa jenga mfumo
10 years ago
Mwananchi18 Jun
MAONI : Hongera Jaji Mutungi, lakini una kazi kubwa
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Hongereni wabunge, hongera rais lakini kazi bado ipo
HONGERENI sana wabunge. Hongera pia Rais Jakaya Kikwete kwa kuwafukuza kazi mawaziri wanne. Nilijisikia faraja kuona wabunge wa upinzani na chama tawala wakiwa wamoja katika hilo. Hongera Amiri Jeshi Mkuu...
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Ooh…madam martha!-4
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Hakuishia hapo, mwanzoni alikuwa akimpapasa lakini sasa akawa anamminya kama anayekamua jipu, ikawa mara apapase zile cheni, mara azishike na kuziunganisha, ilimradi tu alishaanza kumzoea mwalimu wake.
Sasa ikawa mpambano umepamba moto, kati ya mtu na mwanafunzi wake, John…
CHECHEMEA NAYO SASA…
Kama nilivyokwisha kueleza hapo awali, kuwa wawili hao kwa maana ya Madam Martha na mwanafunzi wake John ni watu wa mjini waliojikuta wakiishi mjini Katoro kwa mazingira ya...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Ooh…madam martha!-5
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Ilipoishia wiki iliyopita: Kila upande ukawa unashambulia kwa zamu, lakini tahadhari ya kutoruhusu goli mapema. Kila John akikumbuka mpinzani anayesaka naye kabumbu uwanjani hapo ni mwalimu wake, mzuka wa kucheza kwa bidii ulimpanda mara mbili huku akisubiri maksi kutoka kwa mashabiki.
ASA SONGA MBELE…
Mtu na mwanafunzi wake hao wakiwa katika hali hiyo, ghafla walisikia mlango ukifunguliwa bila aliyeufungua kubisha hodi. Kufumba na kufumbua walipigwa butwaa kumuona...
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Ooh…madam Martha!-3
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Kuona hapati upinzani wala katazo lolote, Madam Martha ambaye ugonjwa wake mkubwa ni wanaume watanashati, aliupeleka mkono kifuani kwa denti wake na kuanza kuuchezesha kiaina huku akisifia kifua kipana cha John. Ikawa wakati akijiandaa kupiga hatua zaidi huku John akiwa ameduwaa kama aliyepigwa na shoti ya umeme, ghafla mlango ulifunguliwa bila mtu kubisha hodi.
YUMBAYUMBA NAYO SASA…
Kabla mlango haujafunguka wote, haraka sana Madam Martha alijiongeza na kwa kasi...
10 years ago
Mtanzania02 Feb
Vannesa ammwagia sifa Madam Rita
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWIMBAJI wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee, amempa sifa Mkurugenzi wa Bench Mark Production, waandaji wa kipindi cha kuibua vipaji vya muziki cha Bongo Stars Search ‘BSS’, Rita Poulsen ‘Madam Rita’, kuwa ni mwanamke anayestahili kuigwa na wanawake wengi nchini.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Vanessa alisema sifa hizo amezitoa ikiwa ni siku ya kuzaliwa kwa Rita, ambaye kwa kiasi kikubwa ameweza kuibua vipaji vingi vya wasanii wachanga.
Vanessa alisema Rita...