UJIO WA NE-YO AFRICA DIAMOND, ALI KIBA MNAANDIKA LAKINI?
![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiE-IkDB-kiwUKlK8pOn09a3iTOtLyqEW12EomRu3KwcstecYouhFeVRiBhskLTvqWUVjdKRJhAl-b1TewmvHR9a/NEYO.jpg?width=650)
UNAANDIKA lakini? Ni moja ya misemo iliyozagaa sana mtaani kwa sasa, msemo huu hupendelewa kutumiwa zaidi pale mtu anapoongea sana au anapokuwa bize kukwambia jambo fulani kwa msisitizo. Julai 18, mwaka huu staa wa muziki wa Pop duniani, Shaffer Chimere Smith ‘Ne-Yo’ alitua katika ardhi ya Afrika na moja kwa moja alipata bahati ya kuhudhuria sherehe za utoaji Tuzo za MTV Africa (Mama) zilizofanyika jijini Durban,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZhVsrLD0LnidpQdul0GBMcgn8jRs7VdQbZ7UPt*Yy1AYnCoqa9uLWom*TVlvIDbdgX0UCYv3qjdz8RH96ZbGrYwaIRU4CjUD/150000080.jpg)
HONGERA MADAM, WASHIRIKI MNAANDIKA LAKINI?
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Ni mpambano wa Ali Kiba V Diamond
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrxcqicIMKVQCrk2N7XnWhUUZeGzFxIZjpyMFzu6tJi1wwgvagmL61kMYmSpUZ4NVZlNGgeZwUSBpoS*X3RjHqoB/666o.jpg?width=650)
ALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm4V1LFxO6Azmj*1uYwxcmJquNBTyIhtMSyWuynmnyJ7hNSn9qqvxvFyKA*PKRo7UTspZZkHU004ME*MeYHKkU2v/1213copy.jpg?width=650)
ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeF0zZeZGlSJHtOWY-SnzsI*8fW09fH5-*ZDgnKKuurQrzT8uXdvYKhtBHByo2bnh7Pije8ZlgjEtn498nQ0qZBl/alli.jpg)
ALI KIBA, DIAMOND WAFIKA PABAYA!
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Ali Kiba: ‘Kolabo’ na Diamond haitatokea
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema haitakuja kutokea kufanya ‘kolabo’ na msanii wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ katika maisha yake. Kauli hiyo ya Ali...
10 years ago
Mtanzania29 Apr
Diamond, Ali Kiba wachuana Tuzo za Watu
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
WANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ali Kiba, ni miongoni mwa wasanii wanaochuana katika Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume katika Tuzo za Watu 2015.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Bongo 5 Media Group, inayoratibu tuzo hizo, Nancy Sumari, wasanii wengine walio katika kipengele hicho ni Elias Barnaba, Ommy Dimpoz na Jux.
Katika kipengele cha msanii bora wa kike wanaochuana ni Lady Jaydee, Linah,...