Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hongera vyama kwa kampeni za kistaarabu

Ni takriban siku 15 tagu kampeni zilipoanza rasmi kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kwa bahati nzuri hakuna matatizo makubwa ambayo yametokea hadi sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

JK: Kampeni ziwe za kistaarabu

RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kufanya kampeni za kistaarabu, kwakuwa nchi ya Tanzania inayo sifa ya kuendesha mambo yake kwa njia ya amani na utulivu.

 

9 years ago

Michuzi

VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUTUMIA LUGHA ZA KISTAARABU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Mkurugenzi wa Mtendaji wa kituo cha Sheria na Haki za Dr. Binadamu Hellen Bisimba   akizungumza na wananchi waliofika kwenye uzinduzi wa ilani ya uchaguzi ya Azaki Tanzania  katika ukumbi wa Milleniamu Towers Kijitonyam leo Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume ya Haki za binadamu na utawara bora,Bahame Nyanduga akizindua ilani ya uchaguzi ya Azaki Tanzania katika ukumbi wa Milleniamu Towers Kijitonyama leo Jijini Dar es Salaam.  Kushoto ni Mkurugenzi wa Mtendaji wa kituo cha Sheria na...

 

9 years ago

Habarileo

CUF yaahidi kufanya kampeni za kistaarabu

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitahakikisha kinafanya kampeni za kistaarabu na kuweka wazi sera zake bila ya kukaribisha malumbano ambayo yatasababisha kujenga mazingira ya chuki na uhasama.

 

9 years ago

StarTV

Polisi Mwanza yahimiza wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu

 

Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limetoa angalizo kwa wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu na kujiepusha na vitendo vitakavyoashiria uvunjifu wa amani ambavyo vinaweza kuwatia hofu wananchi.

Hali hiyo inaweza kusababisha wananchi kushindwa kutimiza haki yao ya msingi ya kupiga kura.

 

Onyo hilo limetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza  Naibu Kamishna wa Polisi Charles Mkumbo katika kampeni ya jeshi la Polisi yenye lengo la kuhamasisha amani mkoani Mwanza.

Pia Kamanda Mkumbo...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Hongera vyama Z’bar kusaini maadili ya uchaguzi

Hatimaye vyama vya siasa visiwani Zanzibar vimekubali kusaini mkataba wa Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, baada ya mkutano wa awali kuvunjika kwa madai ya kukosekana wadau muhimu kwenye mkutano huo ambao ni Chama cha Mapinduzi (CCM) na Jeshi la Polisi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani