JK: Kampeni ziwe za kistaarabu
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kufanya kampeni za kistaarabu, kwakuwa nchi ya Tanzania inayo sifa ya kuendesha mambo yake kwa njia ya amani na utulivu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Hongera vyama kwa kampeni za kistaarabu
10 years ago
Habarileo25 Aug
CUF yaahidi kufanya kampeni za kistaarabu
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitahakikisha kinafanya kampeni za kistaarabu na kuweka wazi sera zake bila ya kukaribisha malumbano ambayo yatasababisha kujenga mazingira ya chuki na uhasama.
10 years ago
StarTV10 Sep
Polisi Mwanza yahimiza wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limetoa angalizo kwa wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu na kujiepusha na vitendo vitakavyoashiria uvunjifu wa amani ambavyo vinaweza kuwatia hofu wananchi.
Hali hiyo inaweza kusababisha wananchi kushindwa kutimiza haki yao ya msingi ya kupiga kura.
Onyo hilo limetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi Charles Mkumbo katika kampeni ya jeshi la Polisi yenye lengo la kuhamasisha amani mkoani Mwanza.
Pia Kamanda Mkumbo...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
‘Huduma za Tika ziwe na tija’
SERIKALI Mkoa wa Tabora imesema haitakuwa tayari kusikia wananchi wanalalamikia huduma mbovu za matibabu kwa kadi (TIKA) wakati wameshachangia fedha. Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa, alitoa angalizo hilo...
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Mwigulu: Sheria ya Ununuzi wa Umma wizi wa kistaarabu
10 years ago
StarTV20 Aug
Wagombea Songea waaswa kutumia kauli za kistaarabu
Wagombea wa Jimbo la Songea mkoani Ruvuma wametakiwa kuwa makini na kauli watakazozitoa katika kampeni za uchaguzi mkuu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Jimbo la Songea Mjini Zacharia Nachoa amesema anategemea kuwa wagombea watatii na kufuata taratibu na kanuni kwa kujinadi kistaarabu bila kuleta chuki kama ilivyo historia ya Jimbo hilo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Jimbo la Songea Mjini Zacharia Nachoa amesema , mpaka sasa vyama vilivyochukua fomu za Ubunge ni chama cha ACT Wazalendo na CCM, ambapo...
10 years ago
Habarileo30 Nov
Vuta nikuvute ndani ya Bunge yamalizwa kistaarabu
BUNGE jana liliahirishwa kwa mara tatu mfululizo, kutokana na kutoafikiana juu ya mapendekezo yaliyotolewa dhidi ya wahusika wa sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa katika Benki Kuu Tanzania (BoT).
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Kamati teule za bunge ziwe na wigo mpana
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Mahakama ziwe mfano wa kuona haki inatendeka
VICHEKESHO, burdani na kile ambacho siku hizi kinajulikana kama usanii, ni mambo yanayokubalika katika mambo mengi ya maisha ya kila siku. Hali hii ipo hata katika kazi kwani kwa kiasi...