Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu: Sheria ya Ununuzi wa Umma wizi wa kistaarabu

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ametoboa madudu aliyoyaona kipindi kifupi alichokaa kwenye ofisi hiyo baada ya kuapisha hivi karibuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

GPSA kupunguza gharama za ununuzi wa taasisi za umma

WAKALA wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya Wakala za Serikali Na.  30 ya mwaka 1997, kupitia katika agizo la uanzishwaji...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UUZAJI, UNUNUZI WA KARAFUU KWA ‘VIKOMBE’ KUEPUSHA WIZI NA UKATAJI MIKARAFUU.

 Mkulima wa karafuu wilaya ya Wete akionyesha matawi ya mkarafuu yaliyokatwa na wezi shambani kwake kwa lengo la kuiba karafuu.


Na Ali MohamedSERIKALI imepiga marufuku uuzaji na ununuzi wa karafuu usio rasmi (vikombe) kuepusha wizi wa karafuu mashambani na ukataji wa mikarafuu unaofanywa na baadhi ya watu kutokana na kuzoeleka kwa biashara hiyo. 
Wakizungumza katika nyakati tofauti Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wamesema hakuna ruhusa kwa mtu yoyote kuuza au kununua karafuu mbichi au kavu...

 

10 years ago

Mwananchi

Bodi yalilia mabadiliko Sheria ya Ununuzi

Bodi ya Barabara Mkoa wa Arusha imeliomba Bunge kufanya marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma.

 

9 years ago

Mwananchi

Sefue: Maagizo ya Rais hayavunji Sheria ya Ununuzi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema maagizo ya Rais John Magufuli ya kutaka fedha zilizokuwa zitumike kwa matumizi yasiyo ya lazima kupelekwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo nchini, hayavunji Sheria ya Ununuzi, wala utaratibu mwingine wa kisheria.

 

11 years ago

Habarileo

Mabadiliko Sheria ya Ununuzi yalinda maslahi ya taifa

MIKATABA isiyo na maslahi kwa taifa imedhibitiwa kwa kiwango kikubwa kutokana na mabadiliko yaliyofanyika katika Sheria ya Ununuzi ya mwaka 2011; Bunge limeelezwa jana.

 

10 years ago

Vijimambo

PPRA YAKABIDHI UTUMISHI TUZO YA UTENDAJI ULIOTUKUKA KATIKA ENEO LA UNUNUZI WA UMMA

Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Samson Akyoo (wa tatu kutoka kulia) akionyesha tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa watumishi wa ofisi yake.Tuzo hiyo alikabidhiwa na PPRA katika Maadhimisho ya miaka 10 ya PPRA yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana. Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (kushoto) akikabidhi tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Michuzi

PPRA YAIKABIDHI UTUMISHI TUZO YA UTENDAJI ULIOTUKUKA KATIKA ENEO LA UNUNUZI WA UMMA

mi1Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (kushoto) akikabidhi tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Samson Akyoo (kulia) katika Maadhimisho ya  miaka 10 ya PPRA yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana.Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Balozi Martin Lumbanga (wa pili kutoka kushoto) na Mtendaji Mkuu Mstaafu wa PPRA Dkt. Ramadhani Mlinga (wa pili...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA MTENDAJI MKUU WA MAMLAKA YA UDHIBITI NA UNUNUZI WA UMMA (PPRA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt Laurent M. Shirima kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma (PPRA).
Dkt. Shirima ni Mkurugenzi wa kujenga Uwezo wa Huduma za Ushauri (Capacity Building and Advisory Service-PPRA) na pia ndiye anaye kaimu nafasi ya Mtendaji Mkuu wa PPRA.
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 2 Mei, 2014.
Imetolewa na;
Premi Kibanga, Mwandishi wa Habari wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani