Hosea: Hakuna atakayepona Escrow
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema kuwa haikurupuki katika kuwashughulikia na kuwafikisha mahakamani viongozi wanaotuhumiwa kujipatia fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kwamba ushahidi pekee ndiyo utakaofanya kuwafikisha mahakamani watuhumiwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 May
Dk Hosea: Uchunguzi Escrow palepale
Na Debora Sanja, Dodoma
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema uchunguzi dhidi ya vigogo wa kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow unaendelea.
Kauli hiyo ilitolewa Dodoma jana na Mkurugenzi wa Takukuru, Dk . Edward Hosea alipokuwa akijibu maswali ya wabunge waliohudhuria semina ya Chama Cha Wabunge Wanaopambana na Rushwa (APNAC).
Kauli ya Dk. Hosea ilitokana na swali la Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka (CCM), aliyetaka...
9 years ago
TheCitizen30 Dec
Is Hosea scapegoat of circumstances?
9 years ago
AllAfrica.Com30 Dec
Tanzania: Is Hosea Scapegoat of Circumstances?
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Some areas which many people have complained as a source of rampant corruption are election and public procurement. The Introduction of the Election Expenses and Public Procurement laws have not cubed the vice in these areas.
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dk. Hosea
Dk. Edward Hosea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa, Dk. Edward Hosea kuanzia leo kwa sababu yakutoridhishwa na utendaji wa taasisi hiyo.
Katika hatua nyingine Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, amesema, Rais John Pombe Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa watumishi wanne wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambao walisafiri nje ya nchi licha ya Rais...
9 years ago
CCM Blog16 Dec
RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA HOSEA TAKUKURU
9 years ago
MichuziMWALIMU HOSEA DANIEL KUTOKA FOLUMA TUITION CENTRE AELEZA UMUHIMU WA MASOMO YA ZIADA.
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Makamu wa Rais Dkt. Bilal ashiriki kuaga mwili wa mama mzazi wa Dkt. Edward Hosea, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya marehemu Esther Gigwa, Mama mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward Hosea, wakati alipofika kushiriki kuaga mwili huo nyumbani kwa mkurugenzi huyo, Masaki jijini Dar es Salaam, leo Feb 27, 2015. (Picha na OMR).
Wanafamilia wafiwa wakiwa katika shughuli hiyo ya maziko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji,...