Hot Seat With Mama Kinda - Episode 6
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen10 Dec
Ugandan tactician poised for Msimbazi’s hot seat
10 years ago
TheCitizen20 Aug
POLITICAL COVER: Kimiti to Nyerere: Ikulu is too hot a seat for me
9 years ago
Mtanzania03 Dec
St. George yamtaka kinda wa Azam
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
WINGA wa timu ya Azam FC, Kelvin Friday, amewavutia mabingwa wa Ligi Kuu ya Ethiopia, St. George, baada ya klabu hiyo kutuma barua ya kumtaka kinda huyo akafanye majaribio.
St. George kwa sasa inafundishwa na kocha wa zamani wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Mholanzi, Mart Nooij, ambaye amewahi kumuita mara kwa mara Friday kwenye kikosi cha Stars akianzia na Stars Maboresho.
Taarifa iliyotolewa jana katika mtandao wa Azam kupitia kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Mbunge aliyeolewa na kinda atoa mpya
MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60), aliyeolewa na kinda wa miaka 26, Michael Christian, amegoma kutoa vyeti vya shule vya kijana huyo na kumtaka...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
PACHA BOYZ: Kinda wanaochomoza kwenye filamu
VIJANA wengi wa Kitanzania ambao wanaamua kuingia kwenye soko la filamu hivi sasa, hujikita zaidi katika picha za mapenzi. Lakini licha ya wengi wao kujishughulisha na filamu za mapenzi, kuna...
9 years ago
TheCitizen13 Dec
OUR KIND OF ENGLISH : Containers ‘not paying’ taxes; loaded ‘tracks’
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Erling Braut Haaland: Mshambuliaji kinda wa Dortmund ambaye ni moto wa kuotea mbali
10 years ago
Vijimambo23 Apr
KINDA WA ARSENAL ALIESHINDWA KUITUMIA TIMU HIYO KWA KUKOSA KIBALI SASA RUKSA.
Silva sasa ruksa Arsenal
Baada ya kushindwa kucheza Arsenal kwa miaka minne kutokana na tatizo la kibali cha kazi, Mbrazili Wellington Silva sasa njia ni nyeupe.
Silva (22) alisajiliwa na Arsenal kutoka Fluminense tangu 2011 lakini akashindwa kucheza kwa vile hakupewa kibali cha kazi kwa vile hakuwa na uzoefu mkubwa na anatoka nje ya Umoja wa Ulaya (EU).Walichofanya Arsenal ni kumpeleka kwa mkopo katika klabu tano tofauti za Hispania (imo kwenye AU) na sasa baada ya miaka minne amepewa uraia...
10 years ago
BBCHow mosquitoes zero in on hot bodies