HOTUBA YA SHIGONGO YAWAKUNA WAHITIMU MLIMANI SCHOOL OF PROFESSION
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Eric Shigongo ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo akiongoza maandamo maalumu yaliyoandaliwa na chuo hicho, kushoto ni Mkuu wa Chuo, Hassan Ngoma. Shigongo akihojiwa na mwandishi wa chuo hicho cha Professional FM, Shikunzi Haonga ambaye ni mkuu wa kitengo idara ya habari mawasiliano kwa umma (hayupo pichani) ndani ya studio iliyopo chuoni hapo.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 May
Hotuba ya JK yawakuna wajumbe NEC
Na Khamis Mkotya, Dodoma
BAADHI ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), wameelezea kufurahishwa na hotuba iliyotolewa na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.
Akifungua mkutano wa Halmashauri Kuu mjini hapa juzi, Rais Kikwete alisema salama ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu, ni kuteua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wananchi.
Rais Kikwete aliwaagiza viongozi wa chama hicho kuzingatia sifa na vigezo na mwisho wa siku kuteua wagombea...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WA*Dv5OWc2hkzs5*WzMF8gNoJa4aFRGlpUMQmknE46pN9NGW63x47pjRNRoZXx8to24R4cPKQG6M8ajA2KXqSk9IimqDM4yg/1SHIGONGOALPHAHEPATITISB8.jpg?width=650)
ERIC SHIGONGO APELEKA KAMPENI YA HOMA YA INI ALPHA HIGH SCHOOL
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/62.jpg?width=650)
MLIMANI SCHOOL OF PROFESSIONAL STUDIES
9 years ago
Vijimambo94 WAHITIMU ELIMU YA MSINGI SHINNING SCHOOL SONGWE MBEYA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-adhEOIbnRqI/ViSbOiqK5GI/AAAAAAAAE3I/AIgP2QYW1LE/s72-c/A.jpg)
WAHITIMU ADILI HIGH SCHOOL WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI
![](http://2.bp.blogspot.com/-adhEOIbnRqI/ViSbOiqK5GI/AAAAAAAAE3I/AIgP2QYW1LE/s640/A.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-C7vVWeiHX-I/ViSbfrDCtNI/AAAAAAAAE3Q/SREdVO70x_I/s640/B.jpg)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
MichuziWANAFUNZI 94 WAHITIMU ELIMU YA MSINGI SHINNING SCHOOL SONGWE MBEYA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7TSn-DrKE8k/XpLs_YUaK4I/AAAAAAALmz0/GujBR8uMSVIq8jPMDyeWOj4TM-y84ihigCLcBGAsYHQ/s72-c/8509c873-53c8-40b4-b682-b8d79d4c91e0.jpg)
KENYA's CMG ARGWINGS KHODEK-: A DOYEN OF LEGAL PROFESSION & EAST AFRICA'S FIRST BLACK LAWYER
![](https://1.bp.blogspot.com/-7TSn-DrKE8k/XpLs_YUaK4I/AAAAAAALmz0/GujBR8uMSVIq8jPMDyeWOj4TM-y84ihigCLcBGAsYHQ/s640/8509c873-53c8-40b4-b682-b8d79d4c91e0.jpg)
By MZEE WA ATIKALI ✍️✍️✍️
1. Introduction
The late CLEMENT MICHAEL GEORGE ARGWINGS KHODEK , popularly known as "CMG", made history in 1949 when he became the First Black Lawyer in East Africa. CMG, who died in a mysterious road accident on 29.1.1969, was a Kenyan citizen.
2. Birth Date & Place
CMG was born in 1923 in Nyanza, Kenya.
3. Education
CMG was sent to a local mission school and later to St Mary's school, Yala and St. Mary's College, Uganda where he sat his Cambridge School Certificate...
10 years ago
Habarileo16 Mar
Serikali yawakuna wakazi wa Mbinga
WANANCHI katika wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, wamefurahishwa na hatua ya serikali katika matumizi ya fedha za ‘chenji ya rada’ kwa kununulia vifaa ili vitumike katika shule za msingi na sekondari, kwani vitasaidia kuongeza ufaulu kwa shule hizo.
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Tusker Fanyakweli Kiwanjani yawakuna wakazi wa Mbezi Beach na Kimara wiki hii
Mteja wa bia ya Tusker Bi. Elizabeth Ulomi (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) kabla ya kupokea zawadi yake ya mfuko na fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi beach jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Akijiandaa kutoa zawadi hiyo (kulia) ni Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya...