Hotuba ya JK yawakuna wajumbe NEC
Na Khamis Mkotya, Dodoma
BAADHI ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), wameelezea kufurahishwa na hotuba iliyotolewa na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.
Akifungua mkutano wa Halmashauri Kuu mjini hapa juzi, Rais Kikwete alisema salama ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu, ni kuteua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wananchi.
Rais Kikwete aliwaagiza viongozi wa chama hicho kuzingatia sifa na vigezo na mwisho wa siku kuteua wagombea...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLHOTUBA YA SHIGONGO YAWAKUNA WAHITIMU MLIMANI SCHOOL OF PROFESSION
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Wajumbe CCM waponda hotuba ya Jaji Warioba
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/0lcLfTS8dl4/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi13 Aug
JK: Wajumbe NEC wana kazi kubwa
10 years ago
Habarileo15 Feb
Wajumbe wa NEC wa CCM Dodoma waonywa
MWENYEKITI CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya mkoa huo kuacha kujitwisha misalaba ya wagombea urais huku wakiwa hawajui hatma ya maeneo yao wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SFIR5RNkxUA/VUngvZyZYII/AAAAAAAHVto/Tadj8Ulfuqk/s72-c/1.jpg)
Wajumbe wa Sekreatrieti ya Kamati Maalum ya NEC, Zanzibar wawafariji waloiathirika na mvua
![](http://3.bp.blogspot.com/-SFIR5RNkxUA/VUngvZyZYII/AAAAAAAHVto/Tadj8Ulfuqk/s1600/1.jpg)
Wakiongozwa na Mwenyekiti wao, ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Vuai Ali Vuai, wajumbe hao wa Sekreatrieti walitembelea maeneo mbali mbali mkoani humo ikiwemo Mpendae kwa Binti Amrani, Tomondo na Mwanakwerekwe, ambayo yalikumbwa na kadhia hiyo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-qsBkrU3eVnk/VUngyuxipyI/AAAAAAAHVuA/SPBmPIFwOK0/s1600/7.jpg)
10 years ago
Habarileo16 Mar
Serikali yawakuna wakazi wa Mbinga
WANANCHI katika wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, wamefurahishwa na hatua ya serikali katika matumizi ya fedha za ‘chenji ya rada’ kwa kununulia vifaa ili vitumike katika shule za msingi na sekondari, kwani vitasaidia kuongeza ufaulu kwa shule hizo.
11 years ago
Bongo518 Jul
Video: Ngonjera ya wanafunzi wa shule ya Ketumbeine iliyowekwa Instagram na Terrence J yawakuna Wamarekani
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Tusker Fanyakweli Kiwanjani yawakuna wakazi wa Mbezi Beach na Kimara wiki hii
Mteja wa bia ya Tusker Bi. Elizabeth Ulomi (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) kabla ya kupokea zawadi yake ya mfuko na fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi beach jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Akijiandaa kutoa zawadi hiyo (kulia) ni Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10