Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI 94 WAHITIMU ELIMU YA MSINGI SHINNING SCHOOL SONGWE MBEYA


Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya kimataifa ya Shinning School  Songwe Mbeya wakiwa katika maandamano ikiwa ni sehemu ya kufurahia tukio hilo mwishoni mwa wiki mkoani Mbeya.
Mkurugenzi Mtendaji wa shule ya kimataifa ya Shinning School iliyopo nje kidogo ya mji wa mbeya eneo la songwe kiwandani Amani Kajuna ambaye pia ni Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya akizungumza katika hafla hiyo.Mmoja wa wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi  2015  shule ya kimataifa ya Shinning School ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

94 WAHITIMU ELIMU YA MSINGI SHINNING SCHOOL SONGWE MBEYA


Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya kimataifa ya Shinning School  Songwe Mbeya wakiwa katika maandamano ikiwa ni sehemu ya kufurahia tukio hilo mwishoni mwa wiki mkoani hapa (Picha Jamiimojablog)




Wazazi wakiwa  katika nyuso za furaha baada ya watoto wao kuhitimu elimu ya msingi katika shule hiyo

MKurugenzi Mtendaji wa shule ya kimataifa ya Shinning School iliyopo nje kidogo ya mji wa mbeya eneo la songwe kiwandani Amani Kajuna ambaye pia ni Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya akizungumza...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI YA ST.MARY'S INTERNATIONAL SCHOOL JIJINI MBEYA

Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Mary's iliyoko eneo la Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo.Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Mary's Forest Jijini MbeyaWazazi na waleziUongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo.
Kwa picha zaidi na Jamiimoja blog BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI ABAKWA NA KUSABABISHWA KUTOFANYA MTHIANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI

HUYU NI MWANAFUNZI MWENYE UMRI WA MIAKA 14, ALISHINDWA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA 2014 KWA SIKU YA PILI TATEHE 11 SEPTEMBA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUTEKWA NA MWANAUME NA KUMFUNGIA NDANI KWAKE NA KUMBAKA NA KUSABABISHA MWANAFUNZI HUYO AMBAYE NI MTOTO KUTOMALIZA MTIHANI WAKE WA MWISHO.....HATA HIVYO MTUHUMIWA AMESHILIWA NA POLISI TANGU TAREHE 11SEPT NA HAJAFIKISHWA MAHAKAMANI.....MWANAFUNZI HUYU ANALIA SANACHANZO:SAM MAHELA

 

9 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa shule msingi International School of Tanganyika (IST) Alyanz Nasser na Shilen Dawda watengeneza mifuko mipya


Mkurugenzi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Ofisi ya Mazingira, Bwana Julius Ningu (kulia) akiwapongeza Vijana wa Shule ya International School of Tanganyika (IST) mbele ya Waandishi wa Habari leo 23 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) kwa ubunifu wa kutengeneza mifuko kwa ajili ya utunza mazingira dhidi ya utupaji taka ovyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Limited, Bwana Constantine Majavika, anaemfuatia ni Alyanz Nasser na mwenzie Shilen Dauda (wa pili ...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA OCODE LAWAJENGEA DARASA JIPYA KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA AWALI SHULE YA MSINGI KIBWEGERE



Mkurugenzi wa shirika la Ocode Joseph Jackson wa kati kati akiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Manispaa ya ubungo Beatrice Dominic  wa kushoto pamona na Afisa elimu wa manispaa hiyo  kulia wakiwa wameshikilia upete kwa ajili ya kuukata ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa darasa moja la wanafunzi wa elimu ya awali Kibwegere ambalo limetolewa na shirika...

 

9 years ago

StarTV

Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

 

Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.

Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.

Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...

 

10 years ago

Dewji Blog

MOblog inawatakia kila la kheri wanafunzi wote wanaofanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi leo

MITIHANI YA DARASA LA SABA MORO 3

Habari watanzania wenzangu, kwa niaba ya MOdewjiblog Team napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaofanya mitihani yao ya mwisho ya kumaliza elimu ya msingi hivi leo.

Mola awape wepesi wa kuelewa vyema mitihani yao.

Elimu bora ndio msingi wa Taifa Letu!

Kila la kheri wanafunzi!

Mungu ibariki Tanzania na wabariki vijana wetu pia.

 

 

10 years ago

Michuzi

SHULE YA AWALI YA ABEL MEMORIAL NURSERY AND PRIMARY SCHOOL SASA KUANZA KUTOA ELIMU YA MSINGI MWAKANI, MAHAFALI YAO YAFANA

Wanafunzi ambao ndio wamehitimu shule ya ABEL MEMORIAL NURSERY AND PRIMARY SCHOOL leo shule ambayo ipo bunju jijini Dar es salaam hapa wakikata keki pamoja na mwalimu wao ishara ya kufurahia mafanikio waliyoyapata pamoja na mafanikio ya shule hiyo tanghu kuanmzishwa kwakeWahitimu wakiwa katika pozi za kusubiri sherehe ya kuwaaga rasmi kutoka elimu ya awali kuingia elimu ya msingiMgeni rasmi wa mahafali hayo mama NEEMA KIBANGA ambaye ni afisa elimu wa kata ya bunju akikabidhi vyeti kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani