WANAFUNZI ABAKWA NA KUSABABISHWA KUTOFANYA MTHIANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI

HUYU NI MWANAFUNZI MWENYE UMRI WA MIAKA 14, ALISHINDWA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA 2014 KWA SIKU YA PILI TATEHE 11 SEPTEMBA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUTEKWA NA MWANAUME NA KUMFUNGIA NDANI KWAKE NA KUMBAKA NA KUSABABISHA MWANAFUNZI HUYO AMBAYE NI MTOTO KUTOMALIZA MTIHANI WAKE WA MWISHO.....HATA HIVYO MTUHUMIWA AMESHILIWA NA POLISI TANGU TAREHE 11SEPT NA HAJAFIKISHWA MAHAKAMANI.....MWANAFUNZI HUYU ANALIA SANACHANZO:SAM MAHELA
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog10 Sep
MOblog inawatakia kila la kheri wanafunzi wote wanaofanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi leo
Habari watanzania wenzangu, kwa niaba ya MOdewjiblog Team napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaofanya mitihani yao ya mwisho ya kumaliza elimu ya msingi hivi leo.
Mola awape wepesi wa kuelewa vyema mitihani yao.
Elimu bora ndio msingi wa Taifa Letu!
Kila la kheri wanafunzi!
Mungu ibariki Tanzania na wabariki vijana wetu pia.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014.

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMAIRINGAKAGERAKIGOMAKILIMANJAROLINDIMARAMBEYAMOROGOROMTWARAMWANZAPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASINGIDATABORATANGAMANYARAGEITAKATAVINJOMBESIMIYU Chagua mkoa hapo Juu na kisha ubonyeze kucheki shule yako
10 years ago
Michuzi06 Nov
MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014
Chagua mkoa hapo Juu na kisha ubonyeze kucheki shule yako
10 years ago
GPL
MSHINDI WA TMT 2014 MWANAAFA MWINZAGU AFAULU MITIHANI YAKE YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014
10 years ago
MichuziWANAFUNZI 94 WAHITIMU ELIMU YA MSINGI SHINNING SCHOOL SONGWE MBEYA
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.
Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.
Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...
5 years ago
Michuzi
SHIRIKA LA OCODE LAWAJENGEA DARASA JIPYA KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA AWALI SHULE YA MSINGI KIBWEGERE

10 years ago
Michuzi12 Apr