HUDUMA ISIYOKUWA NA USUMBUFU YA MAWASILIANO YAZINDULIWA
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya inayojulikana kama Vodacom Red jijini Dar es Salaam leo.
Ni huduma ya Vodacom Red Inayotoa ofa nafuu na maalumu kwa wateja.
KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo imezindua huduma mpya inayojulikana kama Vodacom Red ambayo imewalenga wateja wake wote wanaonunua muda wa maongezi kabla ya kupata huduma za mawasiliano ambayo ni bora zaidi,ina unafuu wa gharama na yenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Habarileo18 Feb
Njia mpya ya mawasiliano Dar-Zanzibar yazinduliwa
SERIKALI imezindua njia mpya ya mawasiliano inayounganisha Dar es Salaam kwa upande mmoja na Unguja na Pemba kwa upande mwingine.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Huduma ya kulipa wanaotembea yazinduliwa Afrika
11 years ago
MichuziHuduma ya Push for Change yazinduliwa Tanzania
5 years ago
Michuzi
Zahanati pasua kichwa Njombe yazinduliwa,yaanza kutoa huduma
Wakazi wa mitaa ya Sido na Buguruni halmashauri ya mji wa Njombe wameshindwa kuzuia hisia zao baada ya kukamilika ujenzi na kuzinduliwa kwa zahanati ya mitaa hiyo ambayo ujenzi ujenzi wake umesuasua kwa zaidi ya miaka 9.
Ujenzi huo ulioghalimu zaidi ya Mil 110 umechukua muda mrefu kukamilika kutokana na sababu mbalimbali matumizi mabaya ya fedha za ujenzi huku pia tofauti za kiitikadi zikitajwa kuwa kikwazo kikubwa katika eneo hilo.
Baadhi ya akina mama...
5 years ago
MichuziKANZIDATA YA KUDUMU YA WATOA HUDUMA ZA FEDHA YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania,Profesa Florens Luoga, (wa tatu kushoto),akibofya kitufe maalum wakati wa uzinduzi wa Kanzidata ya kudumu ya watoa huduma za Fedha katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika jijini Dar Es Salaam leo,(wa pili kushoto) ni Naibu Gavana wa Benki Kuu,Dk.Benard Kibesse,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya DCB Community bank, Godfrey Ndalahwa,wengine kutoka kulia ni Meneja Usimamizi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Bima (TIRA),Paul Abdiel , Naibu Mrajisi wa...
10 years ago
Michuzi12 Jun
TTCL Yakabidhi Mradi wa Huduma za Mawasiliano TBL


10 years ago
GPL
ZUNGU: SOGEZENI HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WANANCHI
11 years ago
GPLAIRTEL YAWAFIKISHIA WANAKIJIJI WA SIGUNGA KIGOMA HUDUMA ZA MAWASILIANO