Huduma za dharura kwa wazazi Kibiti zaokoa maisha ya mama na mtoto
Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akimjulia hali mmoja wa akinamama aliyejifungua katika wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kibiti leo.
![Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akitambulishwa kwa baadhi ya wahudumu katika wodi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya Kibiti leo alipotembelea kuangalia mwenendo wa utoaji huduma za dharura katika kituo hicho.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0177.jpg)
Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akitambulishwa kwa baadhi ya wahudumu katika wodi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya Kibiti leo alipotembelea kuangalia mwenendo wa utoaji huduma za dharura katika kituo hicho.
![Jengo ambalo ni chumba cha upasuaji linalotoa huduma za dharura kwa wajawazito katika Kituo cha Afya Kibiti.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0163.jpg)
Jengo ambalo ni chumba cha upasuaji linalotoa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_0216.jpg)
HUDUMA ZA DHARURA KWA WAZAZI KIBITI ZAOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO
Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akimjulia hali mmoja wa akinamama aliyejifungua katika wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kibiti leo. Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akitambulishwa kwa baadhi ya wahudumu katika wodi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya Kibiti leo alipotembelea… ...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-A4ng9e8SUS4/U5RKfTJRleI/AAAAAAAAFl0/l134agmH7ms/s72-c/IMG_2273.jpg)
MKUU WA WILAYA YA NKASI AZINDUA HUDUMA YA OPTION B PLUS MKOANI RUKWA (TIBA YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU KUTOKA KWA MAMA MJAMZITO KWENDA KWA MTOTO
![](http://3.bp.blogspot.com/-A4ng9e8SUS4/U5RKfTJRleI/AAAAAAAAFl0/l134agmH7ms/s1600/IMG_2273.jpg)
11 years ago
Mwananchi24 Apr
‘Huduma ya mama, mtoto ni changamoto’
 Huduma za afya ya mama na mtoto zimeelezwa kuwa na maendeleo hafifu ikilinganishwa na huduma nyingine za afya zilizo chini ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDG) ya mwaka 2015.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TjgPuo53eHc/VBmqmkkYWiI/AAAAAAAGkKQ/kOaJ_-xB1V0/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
Changia mafunzo ya wakunga, okoa maisha ya mama na mtoto - Amref health africa
![](http://1.bp.blogspot.com/-TjgPuo53eHc/VBmqmkkYWiI/AAAAAAAGkKQ/kOaJ_-xB1V0/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT0Gr3uZwggto*R-lgl6tO7qJJZ3nSTcTxtfvVT5cJc0wyNX5eUzrb9HLoQZYH*Ln0h829Mn9N1b7wzGdTvJBZ4v/UZINDUZI.jpg?width=650)
WORLD LUNG FOUNDATION NA SERIKALI YA MKOA WA KIGOMA WAZINDUA KAMPENI YA THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO NA MTOTO
Wahudumu wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma maweni pamoja na wananchi wakitembea kwa maandamano kuelekea katika viwanja vya Sekondari ya Mwananchi Mkoani Kigoma kwaajili ya uzinduzi wa kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akizindua kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA MAMA MJAMZITO''katika viwanja vya… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania