Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huduma za simu kufika vijijini 2015

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imesema ifikapo mwishoni mwa mwaka 2015 vijiji vyote nchini vitakuwa vimeunganishwa na huduma ya mawasiliano ya simu za mikononi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBARAWA ASHUHUDIA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Prof Makame Mbarawa,(kushoto) akiwa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia mara baada ya kampuni ya Vodacom kuwa kati ya makampuni matatu yaliyo saini mkataba wa kupeleka huduma ya mawasiliano simu vijijini awamu ya 2B katika sherehe zilizofanyika mjini Dodoma leo. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof Makame Mbarawa (katikati)...

 

10 years ago

Michuzi

PROF. MBARAWA ASHUHUDIA KWA KUSAINIWA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI AWAMU YA 2B MJINI DODOMA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa (watatu kushoto mstari wa nyuma) akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya mradi wa mawasiliano vijijini Awamu ya 2B ambapo makampuni ya simu ya TTCL, Vodacom na Tigo walisaini. Wanaosaini kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano Injinia Peter Ulanga, Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom,Rosalynn Mworia na Mwakilishi wa kampuni ya MIC,...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa (kulia) muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini mikataba ya usambazaji huduma za mawasiliano ya simu za mkononi maeneo ya vijijini kati ya makampuni ya simu na Mfuko wa Wamasiliano kwa Wote - (UCSAF) jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilano wa Airtel Beatrice Bandawe. Mkuu wa Idara...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali kuyabana zaidi makampuni ya simu nchini, kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015!!

DSC_0072

Ofisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prisca Ulomi, akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na Maktaba)

Na Rabi Hume, Modewjiblog

[TANZANIA] Kasi ya serikali ya awamu ya tano inaonekana kuwa kubwa kwa kuanza kuyabana makampuni ya simu kwa huduma wanazotoa kwa watumiaji wa mitandao hiyo kwa kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015 za sheria ya mawasiliano ya kieletroniki na Posta ya mwaka 2010.

Akizungumzia kanuni hiyo, Msemaji wa...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam leo. Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI VIJIJINI KUNUFAIKA NA MAWASILIANO YA SIMU KUTOKA TTCL

Kampuni ya Simu Tanzania(TTCL) kuwapatia wananchi waishio vijijini zaidi ya Laki Moja mawasiliano ya Simu ifikapo mwaka 2016. Jumla USD 3.3 (sawa na Bilioni 6.8 Tsh) zitatumika kwa ajili ya kupeleka mawasiliano kwenye kata 41 zenye vijiji 41 kupitia ruzuku kutoka kwa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF) ikiwa ni awamu ya 2B.
Kata hizo ni pamoja; Oljoro –Arusha, Olmotonyi- Arusha, Olorieni – Arusha, Chikola- Dodoma, Mpalanga- Dodoma, Farkwa-Dodoma, Iduo-Dodoma, Masagalu-Tanga,...

 

11 years ago

Mwananchi

Taasisi zipeleka huduma vijijini

Kuna taasisi na mashirika mengi yaliyoanzishwa hapa nchini kwa malengo ya kusaidia wananchi katika mambo mbalimbali yanayowahusu. Iwe ni kwa kusaidia wenye matatizo,

 

11 years ago

Michuzi

Mafunzo ya TEHAMA kwa Simu yasisitizwa kukuza Demokrasia Vijijini

Demokrasia vijijini itapatikana iwapo vyombo vya habari jamii vitatumika kikamilifu na kutekeleza wajibu wake wa kupasha habari kwa kutumia teknolojia mpya. Akifungua mafunzo ya wiki moja katika Ukumbi wa Mazingira, Kibaoni Ifakara yanayowashirikisha wanahabari jamii kutoka Pemba, Unguja, Pangani, Ifakara na Kyela, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Hassan Masala amesema mbinu za kisasa zinahitajika kuelimisha jamii na mambo gani yafanyike ili kupata uongozi bora vijijini na taifa kwa ujumla. 20140204_111348

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Mkuya akwepa gari lake kufika bungeni

>Ilikuwa ni saa 9:51 alasiri wakati gari alilokuwamo Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum liliposimama sambamba na lango kuu la kuingia katika Ukumbi wa Bunge na baada ya dakika moja hivi, aliteremka akiwa ameshika mkoba wenye Bajeti ya Serikali ya 2014/15.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani