Hujaji asimulia mkanyagano ulivyotokea Mecca
Mwandishi wa BBC Hausa Tchima Illa Issoufou alikuwa Mina mkanyagano ulipotokea na baadhi ya aliokuwa nao waliangamia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Hujaji aliye Mecca aelezea hali ilivyo
Sheikh Abou Said Abdallah Chambea kutoka Tanzania ambaye yuko mjini Mecca anasimulia kuhusu hali ilivyo huko.
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Watu 150 wauawa katika mkanyagano Mecca
Watu 150 waliokuwa wakishiriki sherehe za hija wamefariki kwenye mkanyagano uliotokea katika mji mtakatifu wa Kiislamu wa Mecca, maafisa nchini Saudi Arabia wamesema.
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Mkanyagano katika shule ya Kakamega: Wazazi wa wanafunzi walioathirika na mkanyagano Kenya waomboleza
Mazishi ya wanafunzi waliofariki kufuatia mkanyagano katika shule ya msingi ya kakamega nchini Kenya yameanza.
11 years ago
BBCSwahili12 May
Onyo kuhusu mkanyagano DRC
Inaarifiwa mechi ilichezewa katika uwanja usiofaa, na kwamba uwanja haungeweza kuhimili idadi kubwa ya mashabiki waliofika kwa mchuano huo.
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Mkanyagano hatari wawaua 11 Zimbabwe
Watu 11 wamefariki katika mkanyagano nchini Zimbabwe baada ya maombi yaliyoongozwa na muhibiri Walter Magaya katika uwanja wa soka.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Mkanyagano watokea katika kivuko Kenya
Mkanyagano umetokea katika kivukio cha Ferry katika eneo la Likoni huko Mombasa Kenya na kusababisha mamia ya watu kujeruhiwa.
11 years ago
BBCSwahili25 Apr
Wengi wafariki katika mkanyagano DRC
Watu kadhaa wameripotiwa kufariki baada ya kutokea mkanyagano katika tamasha la kumkumbuka mwanamuziki maarufu wa Congo King Kester Emeneya.
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Watu 10 wauawa katika mkanyagano India
Takriban watu 10 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika mkanyagano uliofanyika katika hekalu moja katika jimbo la mashariki la Jharkhand nchini India .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania