Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUKUMU 18 ZATOLEWA KUHUSU MASHAURI YA KIJINSIA

 Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha- Mahakama, Chato

Mahakama ya Wilaya ya Chato imefanikiwa kutoa zaidi ya 18 zinazotokana na makosa ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia baada ya jamii kuwa na uelewa juu ya suala hilo na kuweka mikakati ya kutatua changamoto hiyo.

Akizungumza na Maofisa Habari wa Mahakama ya Tanzania, Juni 9, mwaka huu Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mhe. Odira Amworo amesema mashauri yanayoongoza kusikilizwa mahakamani hapo ni vitendo vya ukatili wa kijinsia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

HUKUMU 12 ZAUHUJUMU UCHUMI ZATOLEWA SIMIYU KIPINDICHA MWAKA HUU



Jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu na Mahakama ya Wilaya ya Bariadi.Sehemu ya kumpunzika ya wananchi  kwa ajili ya kupatia huduma za Mahakama.Hakimu Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu Mhe. Venance  Mlingi, akizungumzia kuhusu usikilizaji wa mashauri baada ya uboreshaji wa miundombinu ya Mahakama.Mtendaji wa Mahakama...

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA SONGEA YAANZA KUSIKILIZA MASHAURI NA KUTOA HUKUMU KWA 'VIDEO CONFERENCE'.




Na Brian Haule –Mahakama Kuu Songea



Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Songea imeanza kusikiliza mashauri na kutoa hukumu kwa Mahakama Mtandao yaani ‘Video Conference’.

Mahakama hiyo imeanza kusikiliza mashauri kwa njia hiyo, baada ya jitihada za Mahakama ya Tanzania kununua vifaa maalumu vya kuendesha mahakama kwa mtandao kwa ajili ya mahakama mbalimbali nchini, ikiwa ni hatua za kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa (COVID 19) sambamba na...

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA KESI YA KUBENEA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA‏

Wakili wa Saed Kubenea, Peter Kibatala. Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges Augustine Mwarija, Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo; 1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. 2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la...

 

9 years ago

StarTV

Mahakama kuu Mwanza yatarajiwa kutoa hukumu Leo kuhusu Mwili Wa Mawazo

Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi namba 11 ya mwaka 2015 ambayo ni kesi ya polisi dhidi ya Charles Lugwiko baba mdogo wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo.

Kesi hiyo ilifunguliwa mahakamani hapo kuiomba mahakama iwapatie haki zote za maziko ndugu wa marehemu waishio Mwanza kutokana na jeshi la polisi kuzuia msiba huo kufanyikia Mwanza kutokana na uwepo wa Ugonjwa wa kipindupindu.

Mapema jana majira...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AALIKWA LONDON KUHUDHURIA MKUTANO KUHUSU UKOMESHAJI WA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWENYE MIGORORO


Serikali ya Uingereza imemwalika Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro (“End Sexual Violence in Conflict”) utakaofanyika mjini London, Uingereza kuanzia tarehe 10 hadi13 Juni, 2014.
Mwaliko huo unakuja kufuatia mchango mkubwa wa Tanzania katika kufanikisha kuwepo kwa Tamko la Umoja wa Mataifa linalohusu suala hilo (Declaration of Commitment...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wasichana 30 jijini Mwanza wapatiwa mafunzo ya siku tano kuhusu elimu ya ukatili wa kijinsia majumbani

Untitled

Mkufunzi wa Masuala ya Kijinsia Bi. Tumaini Kyola akitoa mafunzo kwa kundi la Wasichana 30 ambao hawako mashuleni juu ya mbinu mbalimbali za kuelemisha jamii kuhusu masuala Ukatili wa Majumbani na wa kingono pia. Wasichana hawa wanategemewa kwenda kuwafundisha wasichana wenzao wa mitaani, kila mmoja amepewa lengo la kufikia wasichana 50.

Untitled 1

Baadhi ya wasichana 30 wakiwa makini kufuatilia mafunzo waliokuwa wakipatiwa na mkufunzi wao (hayupo pichani), hili ni kundi la kwanza kwa wasichana...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro

 Mhe. Peter Kallaghe, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza akizungumza na  Mhe. Mark Simmonds, Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro unaoendelea Jijini London, Uingereza.  Kwenye sherehe za ufunguzi, waandaaji wa mkutano huo walisifia nchi zinazochangia kuleta amani kwenye maeneo yenye migogoro duniani . Aidha walisifu hatua ya Tanzania kuwa miongoni mwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Riadha:Sheria dhidi ya dawa zatolewa

Shirika la riadha nchini AK limetoa orodha ya sheria za kukabiliana na wanaraidha wanaoutumia dawa za kusisimua misuli

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani