Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hukumu ya NEC katika rufaa za ubunge kwa wagombea

Wakati kipenga cha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na rais kimeshapulizwa Agosti 22 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), tume hiyo imepokea rufani za baadhi ya wagombea na vyama kupinga wagombea wa vyama vingine katika ngazi ya udiwani na ubunge.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

NEC yaruhusu wagombea Ubunge waliopingwa kuendelea na kampeni

Damian Lubuva – Mwenyekiti NEC Tuesday, September 1, 2015 Na Anitha Jonas – Habari/Maelezo via blogu ya Serikali TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini imefuta rufaa 38 za wagombea nafasi za ubunge kati ya 54 zilizowasilishwa […]

The post NEC yaruhusu wagombea Ubunge waliopingwa kuendelea na kampeni appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

WAGOMBEA UBUNGE CCM WAKAMILISHA KAMPENI ZAO KATIKA KATA 25 JIJINI ARUSHA

SAM_4554Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na wanachama wa chama hicho katika kata ya Themi viwanja vya Trans Foma jijini Arusha katika mkutano wa wagombea 12 wa chama cha mapinduzi ,kuomba kura katika kata 25 ambapo katika kura ya maoni atapatikana mmoja wa kupeperusha bendera ya CCM Arusha mjini(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_4518Kijana aliyejitokeza kusikiliza sera za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kamati kuu ya CCM Taifa yateua wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida Mashariki na Kiteto

1

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba.

2015 – Nape – Press Conf – Kamati Ya Kampeni Za Uchaguzi 2015 – 18.8.2015

 

10 years ago

Mwananchi

Obama ni mzigo kwa wagombea ubunge wa Democratic

Licha ya kwamba Rais Barack Obama bado ana miaka miwili zaidi kukamilisha awamu yake ya pili na ya mwisho kama Rais wa Marekani hata hivyo, mwezi ujao, Novemba 4, kutafanyika uchaguzi wa mabaraza yote mawili ya Bunge la nchi hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Akata rufaa dhidi ya hukumu ya ushoga

Kiongozi wa upinzani nchini Malaysia, Anwar Ibrahim, amefika mahakamani ili kukata rufaa dhidi ya hukumu inayomkabili ya ushoga.

 

9 years ago

Michuzi

STOP PRESS: HUKUMU YA RUFAA YA MRAMBA NA YONA KESHO

Mawaziri  wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona siku walipohukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya milioni tano baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Mwezi Julai mwaka huu. Picha ya maktabaNa Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Dar es Salaam. MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kesho imepanga kutoa hukumu ya rufaa dhidi ya mawaziri  wa zamani, Bazil Mramba na Daniel Yona waliohukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya milioni tano baada ya kukutwa na hatia ya matumizi...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbowe ashinda rufaa dhidi ya hukumu kesi ya shambulio

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi leo imeifuta hukumu iliyomtia hatiani Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe na kuamuru arejeshewe Sh1 milioni alizolipa kama faini.

 

10 years ago

Raia Tanzania

DPP akusudia kukata rufaa hukumu ya kina Mramba

WAKATI waliokuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona, wakieleza kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela, Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), pia amewasilisha Mahakama Kuu kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu hiyo.

Mramba aliyekuwa Waziri wa Fedha na Yona wa Nishati na Madini, walihukumiwa adhabu hiyo Julai 6, mwaka huu na

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha, alisema DPP...

 

10 years ago

Michuzi

CCM ZANZIBAR WAANZA MCHAKATO WA KUTOA FOMU KWA WAGOMBEA WA UBUNGE

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikabidhiwa Fomu na Katibu wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B “ Bibi Subira Mohammed kuomba ridhaa kwa CCM kugombea Uwakilishi Jimbo Jipya la Mahonda. Katibu wa Chama cha Mapinduzi {CCM} Wilaya ya Kaskazini “B “ Bibi Subira Mohammed akimpatia maelezo Balozi Seif mara baada ya kumkabidhi Fomu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kugombea Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Jimbo la Mahonda hapo Ofisi ya CCM Wilaya hiyo Mahonda. Balozi Seif...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani