Hungary
Bunge la Hungary limepitisha sheria ambayo itaipa nguvu serikali yake kufunga mipaka yake yote kwa ajili ya wakimbizi wote
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziPresident Kikwete has sent a congratulatory message to His Excellency János Ãder, President of Hungary on the occasion of the National Day of Hungary
“H.E. János Áder,President of HungaryBudapestHUNGARY
Excellency and Dear Colleague,
On behalf of the people and Government of the United Republic of Tanzania and on my own behalf, I take this opportunity to convey my sincere...
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Wahamiaji wakurupuka Hungary
Wahamiaji wamekurupuka kutoka kwenye kambi za wakambizi zilizoko nchini Hungary wakilalamikia hali duni
11 years ago
BBCSwahili26 Sep
Hungary yasitisha gesi Ukraine
Kampuni kutoka Hungary inayoshughulikia usambazaji gesi ya FGSZ, imesitisha upelekaji nishati hiyo kwa nchi ya Ukraine .
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Marufuku manunuzi Jumapili,Hungary
Bunge nchini Hungary limepiga kura ya kupendekeza kusitisha kufanya manunuzi ya vitu katika maduka.
11 years ago
BBCSwahili27 Oct
Kodi ya internet yapingwa Hungary
Maelfu ya waandamanaji wametaka kusitishwa kwa sheria iliyopendekezwa ya kutoza kodi matumizi ya internet nchini Hungary.
10 years ago
Habarileo04 Sep
Maganga kuzichapa Hungary kesho
BONDIA Jacob Maganga anatarajiwa kupanda ulingoni kesho dhidi ya bondia wa Hungary, Nobert Nemesapati kuwania mkanda wa dunia katika pambano la Light heavy weight litakalopigwa kwenye mji wa Sportcsamok nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili17 Sep
Serbia yailaumu Hungary kuhusu wakimbizi
Serbia na Umoja wa mataifa wameilaumu Hungary kwa kitendo cha kupiga mabomu ya machozi
10 years ago
BBCSwahili13 Sep
Wakimbizi 4000 waingia nchini Hungary
Idadi kubwa zaidi ya wakimbizi wanaripotiwa kuingia nchini Hungary siku ya Jumamosi
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Hungary waingia fainali Euro 2016
Timu ya taifa ya Hungary imefuzu kutinga hatua ya fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016, baada ya kuifunga Norway 2-1.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania