HUYU NDIO TOROKA UJE MWENYEWE MCHEKI HAPA
![](http://img.youtube.com/vi/YI4-kXfJvwA/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo‘Toroka Uje Ya Ukawa’ Kusomba Vigogo Hawa Wa CCM..? HII BALAA SASA
Taarifa tulizozipata zinaeleza kuwa Kambi ya Ukawa imepanga kuzindua rasmi kampeni yake walioyoipa jina la ‘Toroka Uje’, ikiwa na nia ya kuhamasisha watu wengi kukitoroka Chama Cha Mapinduzi na kumuunga mkono mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo chetu, baadhi ya majina ya vigogo wa CCM wanaodhaniwa kuwa huenda wakajiunga na kambi ya upinzani kupitia kampeni hiyo ni pamoja na mwana siasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.Wengine wanaotajwa kuwa...
9 years ago
VijimamboTOROKA UJE RASMI KUANZIA LEO WANA UKAWA(30 Days Movement). Makamanda 30 Kuongoza Mashambulizi..
TOROKA UJE RASMI KUANZIA KESHO WANA UKAWA.Chopa za Kutosha Angani katika kila kanda zikiongozwa na Makamanda 30.Hii ni operation maalum iliyopewa jina "TOROKA UJE" -Itakayo pita kwenye kata na vijiji , makamanda wa ukombozi watasambaa nchi nzima ndani ya siku 30 vijijini ili kuhakikisha kwamba CCM wanaondoka madarakani oktoba 25. Hizo chopa zimegawanyika kikanda Lindi , Mtwara na Pwani hii kanda ya pwani itabeba ujumbe okoa gesi yako sasa( itaongozwa na Tambwe Hiza , ). Ruvuma, Mbeya na...
10 years ago
Bongo Movies08 Mar
PICHA: Kweli Hakuna Mtu Mwembamba!!...Mcheki Hapa JB
Ule usemi wa kuwa hakuna mtu mwembamba umejidhuhilisha hapa kwa Staa huyu wa Bongo Movies, Jacob Stephen “ JB”.
Hapo juu ni picha za JB akiwa katika umri na wakati tofauti. Moja ya zamani na nyingine ya sasa.Asante sana Steve Nyerere kushare nasi picha hii.
Maisha haya...huyo ndio Bonge la bwanaaa!!
Mzee wa Ubuyu.
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Hii ndio kali yenyewe, unakojolea ukuta alafu mkojo unakurudia mwenyewe (+Video)
Kama una tabia ya kujibana kona alafu unajisaidia haja ndogo, mambo yanaweza kukuharibikia kona yoyote !! Nasubiri kuona hii kitu kwa hamu sana, itapunguza matangazo yaliyoandikwa ‘USIJISAIDIE HAPA, UKIKAMATWA FAINI ….‘ Hii stori nimeipata kwenye ukurasa wa BBC mtandaoni, wamesema Uingereza wako kwenye majaribio ya rangi maalum ambayo haipatani na mkojo kabisa, ikitokea mtu kajibana […]
The post Hii ndio kali yenyewe, unakojolea ukuta alafu mkojo unakurudia mwenyewe (+Video) appeared first...
10 years ago
Vijimambo17 Dec
ATHARI ZA UREMBO BANDIA HIZI HAPA HEBU JITIRIRIKIE MWENYEWE
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/15/141215134721_urembo_bandia__624x351_bbc_nocredit.jpg)
Huwezi kuepuka matangazo ya mauzo kila utembeapo katika Mji wa Seoul,utapata wito wa kukutaka ubadilishe umbo kwa njia ya upasuaji wa kuongeza urembo bandia.
Katika mtaa wa ukwasi wa Gangnam,kila ukuta una ishara ya kukuelekeza sehemu ya upasuaji wa aina hii
Kwenye treni na mitaani,unaelezewa kuwa ''unaweza kurudisha uchanga usoni mwako.''kuweka ama kuondoa mikunjo usoni'' inapendekezwa kufanyiwa-''upasuaji wa matiti'',''kuzuia kuzeeka'' ''kubadili kope za macho''''kupunguza nyama na ngozi...
10 years ago
VijimamboSABABU ZA KWANINI TIBAIJUKA ALIKATAA KUJIUZULU HIZI HAPA JITIRIRIKIE MWENYEWE
Taarifa Zinasema Prof Tibaijuka alifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa Maadili kama ambavyo Rais Jakaya Kikwete alivyodai,
Rais Kikwete alitangaza kumfukuza kazi Mbunge huyo wa Muleba Kusini (CCM)katika Mkutano wake wa Wazee wanaokaa mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika...
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Je,huyu ndio mwanamke mrembo duniani?