Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Toroka Uje Ya Ukawa’ Kusomba Vigogo Hawa Wa CCM..? HII BALAA SASA


Taarifa tulizozipata zinaeleza kuwa Kambi ya Ukawa imepanga kuzindua rasmi kampeni yake walioyoipa jina la ‘Toroka Uje’, ikiwa na nia ya kuhamasisha watu wengi kukitoroka Chama Cha Mapinduzi na kumuunga mkono mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo chetu, baadhi ya majina ya vigogo wa CCM wanaodhaniwa kuwa huenda wakajiunga na kambi ya upinzani kupitia kampeni hiyo ni pamoja na mwana siasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.Wengine wanaotajwa kuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TOROKA UJE RASMI KUANZIA LEO WANA UKAWA(30 Days Movement). Makamanda 30 Kuongoza Mashambulizi..


TOROKA UJE RASMI KUANZIA KESHO WANA UKAWA.Chopa za Kutosha Angani katika kila kanda zikiongozwa na Makamanda 30.Hii ni operation maalum iliyopewa jina "TOROKA UJE" -Itakayo pita kwenye kata na vijiji , makamanda wa ukombozi watasambaa nchi nzima ndani ya siku 30 vijijini ili kuhakikisha kwamba CCM wanaondoka madarakani oktoba 25. Hizo chopa zimegawanyika kikanda Lindi , Mtwara na Pwani hii kanda ya pwani itabeba ujumbe okoa gesi yako sasa( itaongozwa na Tambwe Hiza , ). Ruvuma, Mbeya na...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vigogo UKAWA sasa waweseka



Waibuka na masharti mapya kwa JK, SittaWadai waliowasaliti wamesukumwa na njaaHaki za wanaume zapigiwa upatu Katiba mpyaMjumbe aliyepigwa, apiga kura akiwa kitandani
NA WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA
BAADA ya Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na vikao vyake kwa utulivu, viongozi wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wameibuka na kutoa masharti mapya.
Masharti ya kundi hilo ambalo limesusia vikao vya bunge hilo kutokana na kujali maslahi yao binafsi ikiwemo ya kusaka madaraka, ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa waitisha CCM

>Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema kampeni za mwaka huu zitakazofanywa na umoja huo, hazijawahi kuonekana tangu nchi ipate uhuru 1961.

 

10 years ago

Vijimambo

VIGOGO WA CCM MAKONGORO MAHANGA + MSINDAI MGANA + OMEDEYI WAJIUNGA RASMI NA CHADEMA SASA HIVI MLIMANI CITY LIVE!

Naibu Waziri wa Kazi Mh. MahangaMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ambaye ni Mbunge wa zamani wa Iramba Mashariki Ndg.Mgana Msindai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake, kujiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA. Msindai ni miongoni mwa wafuasi "watiifu" wa Mhe.Edward Lowassa. Inadaiwa wapo wenyeviti 15 wa CCM mikoa mbalimbali watajiunga na CHADEMA, baada ya Msindai kufungua njia.Mbunge wa Arumeru CCM Olemedeyi

 

9 years ago

GPL

UKAWA, CCM SASA LALA SALAMA

Magufuli akiwa kwenye moja ya kampeni zake. VITA vya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu inazidi kukolea na kwa mujibu wa habari kutoka kambi mbili pinzani za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), leo vyama hivyo vinaanza ngwe ya lala salama. Chanzo cha habari kilicho karibu na timu ya kampeni ya CCM, kimesema chama chao ndiyo kama kinaanza rasmi shughuli hiyo leo, kwani kinategemewa...

 

11 years ago

Habarileo

Vigogo watakaomuaga Mandela leo hawa hapa

DUNIA leo inaelekeza macho na masikio Afrika Kusini, wakati viongozi 90 wakuu wa nchi na Serikali, viongozi wa mashirika ya kimataifa na watu mashuhuri, watakaposhiriki katika siku ya kitaifa ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Siwezi kamwe kurudi CCM hii ya sasa

Ni mengi yamesemwa kuhusu mwanasiasa huyu, Maalim Seif Shariff Hamad ambaye kwa sasa ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Yeye, ameshikilia nyadhifa mbalimbali tangu akiwa chama tawala, CCM hadi sasa akiwa Chama cha Wananchi (CUF). Ni nini zaidi anacho Maalim Seif? Endelea…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani