Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA: Kweli Hakuna Mtu Mwembamba!!...Mcheki Hapa JB

Ule usemi  wa kuwa hakuna mtu mwembamba umejidhuhilisha hapa kwa Staa huyu  wa Bongo Movies, Jacob Stephen “ JB”.

Hapo juu ni picha za JB akiwa katika umri na wakati tofauti. Moja ya zamani na nyingine ya sasa.Asante sana Steve Nyerere kushare nasi picha hii.

Maisha haya...huyo ndio Bonge la bwanaaa!!

Mzee wa Ubuyu.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Ni Kweli Lulu Ana Mimba?! Jionee Mwenywe Hapa

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameweka tena picha yake mtandaoni (hiyo hapo juu)akionekana   mjamzito, hii ni mara ya pili baada ya hivi juzi kati kuweka picha  ya mwanamke mjamzito bila kuonyesha sura yake, kitendo ambacho kilionekana kuwa  sio yeye na niuongo kwani siku hiyo ilikuwa ni siki ya wajinga dunia.

Hata hivyo bado watu wengi hawajaamini kuwa mrembo huyo kwasasa ni mjamzito na hata lulu mwenyewe hajaweka wazi kuwa kwasasa ni mama kijacho japo wanasema...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu

Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.

“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”

Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.

Jionee picha hizo.

By Mzee wa Ubuyu

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA 5 ZA USHAHIDI KUWA MAGUFULI HAKAMATIKI HIZI HAPA ONA LIVE DODOMA HAPA!!




Dr Magufuli ndiyo habari ya mjini hii ni ndani ya Dodoma na kutoa ujumbe wakusema kuwa Wafanyakazi wazembe,Nitalala nao mbeleeeeee

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Hakuna Mapenzi ya Kweli Bila Wivu-Wolper

Mwigizaji  Jackline Massawe “Wolper” akiwa amepozi namna hiyo huku akionekana yupo 4GB ametupia mtandaoni  ujumbe huu.

“There is no true love without JEALOUSY…Blessed…bby upo peke yakoooooo…love”

Bila shaka huu ujumbe kamtumia mpenzi wake…Lakini hata mimi nawewe unatugusa.....yanaukweli wowote maneno haya?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni kweli hakuna mantiki ya kubadili jina la Taifa Stars

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), chini ya Rais wake Jamal Malinzi aliyeingia madarakani Oktoba 29, 2013, limekuwa katika harakati kadha wa kadha kuhakikisha mchezo huo unapiga hatua mbele. Kwa lengo...

 

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL, HIVI KWELI WEWE NI MKE WA MTU?

NIMEWAHI kuzungumza mara kadhaa katika safu hii kuhusu huyu binti, mtoto wa nguli wa zamani wa soka Tanzania, Ezekiel Greyson ‘Jujuman’, aliyevuma sana akiwa na Simba. Anaitwa Aunt Ezekiel, staa wa filamu za Kibongo! Nilisema kuwa katika tasnia ya filamu, ni muigizaji mzuri kwa kupamba sinema kutokana na uzuri wa sura na umbo lake, lakini katika wasanii wanaotakiwa kwa weledi na viwango, bado ni mtu wa kati, ingawa...

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NI KWELI HAPA PAMESHINDIKANA??

 Ni Miaka mingi sasa imepita huku shimo hilo la chemba likifanyiwa vibweka vya kuwekewa mavitu ya aina mbali mbali ikiwa ni ishara ya alama kwamba hapa kuna shimo.kiukweli shimo hili ni kero sana kwa watumiaji wa njia hiyo hasa ukizingatia lipo maeneo ya katikati ya jiji la Dar pembeni ya jengo refu la Benjamin Mkapa Tower na usoni kwa Makao Makuu ya Benki ya NMB.swali linakuja,hivi ni kweli kwamba hapa pameshindikana kufanyiwa kabisa kutafutiwa ufumbuzi yakinifu?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani